Lowassa Utusamehe Sisi Wana CCM, ni Kosa Lipi Lisilohitaji Msamaha?

Ndugu wanaCCM wenzangu, huu ni ukweli. Tabia ya ukweli ni kuumiza mioyo ya watu, kama ambavyo hapa wanaCCM wenzangu watakapoumia mioyo yao na kuanza kunitukana.

Ni hivi, nilikuwa mbishi sana na siku zote nimekuwa nikiamini kuwa CCM tutashinda katika uchaguzi mkuu, nimefatilia kwa umakini mkubwa mikutano ya CCM pamoja na mikutano ya UKAWA, kiukweli kabisa CCM TUMEKWISHA.

Lowassa tulikukosea, tulikusingizia mengi na tunafahamu kuwa kuna watu walikuhujumu. Tunakuomba utusamehe urudi nyumbani (CCM). Ni kweli tumefanya makosa lakini adhabu unayotupa hatustahili Lowassa.

Ndugu wana CCM wenzangu popote pale mlipo mjitokeze tumuombe msamaha mheshimiwa Lowassa, mpaka muda huu Lowassa amekwisha chukua nchi, October 25 asubuhi anakabidhiwa na JK.

By MCHUNGUZI HURU/JF

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wewe kweli juha wala ww sio ccm mana ccm hakuna MTU juha kama ww kwa mikutano IPI lowasa akamzidi magufuli alikua tabora Leo na siku ya ukawa ilikua tofauti wacha kupotosha hakuna ccm atae kufata ww na akili zako za kipumbavu juha mkubwa we

    ReplyDelete
  2. KASANJE UMELIPUKA EEH KAMA UMEKALIA MOTO,POLE KWA KUUNGUA NA BADO TAREHE 26 OCTOBA 2015 HAPO UTAKALIA MISUMARI YA NCHI SITA.SASA HIVI MSAFARA WA MAGUFULI NI FULL FIESTA.MABASI SITA YA WASANII YAANI TUNAJITOKEZA KWA MAGUFULI KUSIKILIZA MUZIKI WA BURE NA KWA LOWASSA KUMSIKILIZA NA KUMUUNGA MKONO.CCM CHALI,PUUU,TIII,AMBAAA MWEREKA.MJIANDAE KUWA CHAMA CHA UPINZANI CHA CCM BUNGENI WABUNGE 56 WANANYOOSHEANA VIDOLE VYA KUSALITIANA.HAWANA SPIKA,HAWANA WAZIRI MKUU,HAWANA DOLA WAMEKWISHA WAMECHANGANYIKIWA KAZI KWAO,WANATIA HURUMA.CCM-CHAMA CHA MAOMBOLEZO.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad