Lowassa:Richmond Kujulikana Oktoba 25

Hiyo ni kauli ya Lowassa.

Sumaye nae ahoji kama Richmond ni ya Lowassa kwanini inalipwa?

Lowassa anapiga kampeni za kisayansi, walitegemea atawajibu kuhusu Richmond sasa itabidi waendelee kusubiri hadi siku ya kupiga kura watakapopata majibu wanayoyataka.

Na sisi wananchi tuko tayari kumjibia siku hiyo.


Chanzo:TanzaniaDaima

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ETI JAMANI??? KAMA RICHMOND NI YA LOWASA MBONA INAENDELEWA KULIPWA?? JAMANI WATANZANIA CHANGA LA MACHO HILO!!!!

    ReplyDelete
  2. HUU SIO TUU UKOMAVU WA KISIASA ALIONAO MHESHIMIWA LOWASSA BALI PIA HEKIMA NA USTAARABU WA DARAJA LA JUU ALIONAO.CCM WAMEKUA WAKIJITAHIDI KUMCHOKOZA KWA KILA MBINU MAKUMI KWA MAKUMI LAKINI KWA HEKIMA NA UVUMILIVU MKUBWA AMEKUA MPOLE,MAKINI,MSTAARABU,MJENGA HOJA IMARA WA NINI ATAWAFANYIA WATANZANIA MARA BAADA YA KUAPISHWA KUWA RAIS MPYA WA AWAMU YA TANO WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.CHOKOCHOKO ZA WAFAMAJI CCM NI NYINGI MNO LAKINI KWA JABALI LOWASSA ZIMEGONGA MWAMBA.LOWASSA ANASONGA MBELE ANABOMOA KIILA CHA CCM ANACHOKIKUTA MIKOANI.HAIKUA RAHISI KUISAMBARATISHA CCM,CCM INA MIAKA 55 MADARAKANI LAKINI KWA UWEZA WA MWENYEZI MUNGU LEO HII LIMEWEZEKANA.LOWASSA ANAISUKUMA CCM KAMA BUA LA MPUNGA,AAAH KILAINI TUU HUKU ANAKUNYWA CHAI.YAANI NI RAAAHA,BURDAANI WAKIJANI WANAJIPANGA KUANZA LIKIZO NDEFU BILA MALIPO,MAPUMZIKO YANAYOKUJA KUPELEKEA KUPEANA TALAKA WENYEWE KWA WENYEWE NA HUENDA JINA LIKAFUTIKA.POLENI SANA CCM,YAMEWAKUTA,YAMEWAFIKA,MNALO HILO KIFO CHA PIMBI.

    ReplyDelete
  3. kweli ni raha,ccm ndembendembe.mna habari magufuli kaanza kule bukoba jana jumatatu tarehe 21 septemba 2015 anasema ndani ya uongozi wa ccm anahujumiwa na waliomo kwenye msafara wake.anasema mchana wapo kwa magufuli usiku wapo kwa lowassa.unajua kitafuatia nini? kufukuzana mchana kweupe,kuaibishana,ngumi kavu kavu na mwisho wa siku ccm woooote kusambaratika.yanakuja yetu masikio na macho.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad