Lusinde Amshambulia Lowassa.....Asema Kichwani Hayuko Sawasawa Maana Kichwa Kimejaa UJI Badala ya Ubongo

Mgombea Ubunge Jimbo la Mtera, kupitia Chama cha Mapinduzi,Livingstone Lusinde,amesema mawaziri wakuu wastaafu Fredrick Sumaye na Edward Lowassa hawapo sawa sawa  kichwani  kwa  kuwa  vichwa  vyao  vimejaa  UJI  Badala  ya  Ubongo.

Lusinde amesema anamshangaa Sumaye kwani amepata maisha mazuri akiwa CCM,amesomesha watoto wake akiwa CCM,na kwamba Sumaye hana sifa za kuitukana CCM.

Msikilize hapo  chini.
Tags

Top Post Ad

Below Post Ad