Mama wa Diamond Aongelea Kuhusu Mjukuu wake Kuwa si Mtoto wa Diamond
15
September 22, 2015
Weekend iliyopita mtoto wa Diamond na Zari aitwaye Tiffah alitimiza siku 40 na sura yake kuonyeshwa LIVE kwa mashabiki wao..255 ikaamua kupiga stori na mama Diamond kujua anazungumzia nini kuhusu mjukuu wake kudaiwa si damu yake..amesema yale yalikuwa ni maneno ya Magazeti..anasema Mungu kawafedhehesha wote waliokuwa wakisema hivyo kwa kuwa mjukuu wake ni kopy ya Diamond kuanzia pua, mdomo macho na pia anatabia zote alizokuwa nazo Diamond.Diamond amesema kama mzazi lazima ajue jinsi ya kuwa mbunifu kwa kutumia kampuni kubwa kama ambavyo amefanya kwa mwanaye, anasema mtoto akiwa balozi wa kampuni yoyote inasaidia sana katika kupunguza gharama na hata kumsaidia katika maisha yake ya baadaye.
Tags
mbona Domo na Ivan wanafanana?
ReplyDeleteUmekosea shosti ni wa baba yako.
Deletehata mdomo wa Ivan ni mkubwa, msifunike kombe mwanaharamu apite.
ReplyDeleteDNA NI MUHIMU SANA SIJAONA CHOCHOTE HAPO, NA ZARI ALIKUWA ANAISHI NYUMBA MOJA NA IVAN WAKATI ANAMIMBA YA FITAH.
ReplyDeleteUmeshupulia utafikiri ulikuwa unamvua chupi na kudaka mbegu za ivan ha ha ha hebu rudi kwenye kazi yako ya kuzibua vyoo wewe mwenyewe tu dna.
DeleteZari kajua kuwachanganya, Dai na Ivan wanafanana bora DNA, itaondoa utata na kwanini hawataki kumpima mtoto?
ReplyDeletekama ni mdomo mpana hata x wa zari anao isiwe giegezo, Dai kaingizwa choo cha kike na bi kizee.
ReplyDeleteKwani Wema kakatiliwa kujazwa na Ivan mbona povu la sumu ya fisi imekujaa??
DeleteTAFUTENI CHA KUFANYA MWACHENI DIAMOND AISHI KWA FURAHA NA FAMILIA YAKE!!!!
ReplyDeleteNA WEYE UNAYEDAI MTOTO SIO WA DIAMOND HEBU KACHECK DAMU YAKO NA HUYO UNAYEMWITA BABA NAWE UJUE KAMA KWELI NI BABA YAKO.!!!
ReplyDeleteTifaa anafanana sana na Katunzi, Zari kamsakizia Dai.
ReplyDeleteHaya sasa wale team ushuzi endeleeni kuongea maana mlizidi, ooh mtoto WA Fulani Mara hili Mara lile, utazani nyi wenyewe mna uhakika na Baba zenu. Mlikuwa hamuwapumzishi watoto WA wenzenu, mijitu kwa wivu, hongereni Dai na Zari Allah S.W. Awakuzie kasichana kenu, na kaka zake wale wa3 wampende dada Yao, kwani udugu mzito Ni WA kwa mama.
ReplyDeleteBig up Zari na Dai. Wanaanza kunyooka....Oooh DNA ooh Katunzi oooh Ivan oooh Lawrence. Tiffah ni 100% Chibu,
ReplyDeleteHuyo tasa wenu bado anaganga njaa siasani. Alishaanza kujiita" mizes tu bi". Pale bila muhuri wa bi Sandra hakai mtu. Ooh mara simlishi bebi wangu viporo ooh mm na dai lazima tuoane hahahaha. Tupa kulee nani anaoa tasa kurubembe jamvi la wageni choo cha umma! ?? Big up zari na dai. Na bado mpaka watanyooka. Wale timu ushuzi mpo??
ReplyDeletekwani huyo bi kizee kaolewa? kama ni tasa hata mama yako ishanganya shahawa ndo maana ukazaliwa wewe Anony 12.00 AM
ReplyDelete