Mama wa Diamond Aongelea Kuhusu Mjukuu wake Kuwa si Mtoto wa Diamond

Weekend iliyopita mtoto wa Diamond na Zari aitwaye Tiffah alitimiza siku 40 na sura yake kuonyeshwa LIVE kwa mashabiki wao..255 ikaamua kupiga stori na mama Diamond kujua anazungumzia nini kuhusu mjukuu wake kudaiwa si damu yake..amesema yale yalikuwa ni maneno ya Magazeti..anasema Mungu kawafedhehesha wote waliokuwa wakisema hivyo kwa kuwa mjukuu wake ni kopy ya Diamond kuanzia pua, mdomo macho na pia anatabia zote alizokuwa nazo Diamond.Diamond amesema kama mzazi lazima ajue jinsi ya kuwa mbunifu kwa kutumia kampuni kubwa kama ambavyo amefanya kwa mwanaye, anasema mtoto akiwa balozi wa kampuni yoyote inasaidia sana katika kupunguza gharama na hata kumsaidia katika maisha yake ya baadaye.

Post a Comment

15 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mbona Domo na Ivan wanafanana?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Umekosea shosti ni wa baba yako.

      Delete
  2. hata mdomo wa Ivan ni mkubwa, msifunike kombe mwanaharamu apite.

    ReplyDelete
  3. DNA NI MUHIMU SANA SIJAONA CHOCHOTE HAPO, NA ZARI ALIKUWA ANAISHI NYUMBA MOJA NA IVAN WAKATI ANAMIMBA YA FITAH.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Umeshupulia utafikiri ulikuwa unamvua chupi na kudaka mbegu za ivan ha ha ha hebu rudi kwenye kazi yako ya kuzibua vyoo wewe mwenyewe tu dna.

      Delete
  4. Zari kajua kuwachanganya, Dai na Ivan wanafanana bora DNA, itaondoa utata na kwanini hawataki kumpima mtoto?

    ReplyDelete
  5. kama ni mdomo mpana hata x wa zari anao isiwe giegezo, Dai kaingizwa choo cha kike na bi kizee.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwani Wema kakatiliwa kujazwa na Ivan mbona povu la sumu ya fisi imekujaa??

      Delete
  6. TAFUTENI CHA KUFANYA MWACHENI DIAMOND AISHI KWA FURAHA NA FAMILIA YAKE!!!!

    ReplyDelete
  7. NA WEYE UNAYEDAI MTOTO SIO WA DIAMOND HEBU KACHECK DAMU YAKO NA HUYO UNAYEMWITA BABA NAWE UJUE KAMA KWELI NI BABA YAKO.!!!

    ReplyDelete
  8. Tifaa anafanana sana na Katunzi, Zari kamsakizia Dai.

    ReplyDelete
  9. Haya sasa wale team ushuzi endeleeni kuongea maana mlizidi, ooh mtoto WA Fulani Mara hili Mara lile, utazani nyi wenyewe mna uhakika na Baba zenu. Mlikuwa hamuwapumzishi watoto WA wenzenu, mijitu kwa wivu, hongereni Dai na Zari Allah S.W. Awakuzie kasichana kenu, na kaka zake wale wa3 wampende dada Yao, kwani udugu mzito Ni WA kwa mama.

    ReplyDelete
  10. Big up Zari na Dai. Wanaanza kunyooka....Oooh DNA ooh Katunzi oooh Ivan oooh Lawrence. Tiffah ni 100% Chibu,

    ReplyDelete
  11. Huyo tasa wenu bado anaganga njaa siasani. Alishaanza kujiita" mizes tu bi". Pale bila muhuri wa bi Sandra hakai mtu. Ooh mara simlishi bebi wangu viporo ooh mm na dai lazima tuoane hahahaha. Tupa kulee nani anaoa tasa kurubembe jamvi la wageni choo cha umma! ?? Big up zari na dai. Na bado mpaka watanyooka. Wale timu ushuzi mpo??

    ReplyDelete
  12. kwani huyo bi kizee kaolewa? kama ni tasa hata mama yako ishanganya shahawa ndo maana ukazaliwa wewe Anony 12.00 AM

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad