MASKINI: Dr. Slaa Amesahaulika Kabisa Katika Ramani ya Siasa Bongo....

Wakuu kweli siasa ni mchezo mchafu ukijaribu kuchafua ndio inakupoteza katika harakati za kutimiza matakwa ya mrengo wa pili na ambao walikua wafadhili wake hatimaye Dr. Slaa amepotea kwenye siasa za bongo kama Mtu aliyezombwa na mafuriko ya mtu huku anacheka hovyo kumbe anaenda kilindini tayari kwa kifo....
Nadhani Prof Lupumba Amejifunza Mengi na Aendelee Kukaa Kimya Huko Alipo Akisubutu Kufungua Mdomo bila kufikiria Impact yake ajue nae Atasahaulika....

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ni mwenyewe kajiharibia. Siasa inahitaji utulivu, Hekima, Tafakari, Uvumilivu, Akili, Elimu, Ibada, Shauri na nguvu. Slaa kama X padre anaielewa hii.Kunatofauti katika kusolve mambo. Wengi hawatulii na kuchanganua mambo. Ni kweli Aliheshimika, na atakumbukwa kwenye historia ya mageuzi Tanzania. Philosofia aliyoitumia sikubaliani nayo. Yesu alisalitiwa Msalabani lakini hakuwageuka watu wake. Alijua hawajui walitendalo sababu alishajua ukombozi ni muhimu.
    Kinachonishangaza ni hiki: kama DR slaa ni mtu wa dini kweli na mwenye Hekima nashangazwa na uamuzi aliouchukua na kulipwa na Wanaccm. Hii itamla akiwa hai mpaka kufa. Hakufikiri mwanamke ni nyoka. Sikatai Usawa kindoa lakini kutupa hadhi, watoto, umma kwa mwanamke na kuchukua pesa hii imenishangaza. Hajawa mjasiri kuona katika maisha wakati mwingine ujishushe kukomboa jahazi. Pesa ni kitu kidogo sana. Utu ni thamani isiyouzika.
    Itabidi siku moja aombe Msamaha kwa Watanzania. Na kama amepewa donge kama inavyosemekana si hodari kama alivyoonekana. Alitaka Uraisi tu na cheo yeye na mkewe. Kaona aibu na kajisaliti mwenyewe. Hangeweza kuzuia rushwa kwa vishawishi vikubwa vya pesa na kadhihirisha haya. Na wafanyakazi hoteli wasio na Hatia wamefukuzwa kazi sababu yako. Hujali familia zao zimeteteleka kiasi gani. Ungekuwa hodari ungekuja hadharani kuwarudisha watu hawa kazini. Umejiunga na CCM kuwaonea wasio na hati. Hii hata ukitubu husamehewi. Wewe wachukua mabilioni hawa na familia zao na wafanyakazi halisi umeshiriki kuwafukuza kazi.
    Moyo na roho yako na mkeo zikusute kila siku. Cheko zenu za bandia. Roho zinalia.

    ReplyDelete
  2. wewe huna akili kajiharibia kwani alizaliwa na siasa ndomaana kasema hataki siasa unajua kiswahili au umeandika tu kwa sababu una MB za bure kwenda huko huna lolote mtaisoma namab oct hapo ndo utarudia maneno aliosema Slaa na utajua kama kajiharibia ama vip mtajuta milele hapo ndo utaona thamani ya DK slaa sasa hivi simanamuona hana thamani thamani yenu ipo kwa lowasa mtalia lakini hatakuwepo wakuwanyamazisha oct sio mbali

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad