Mgombea Mwenza wa CCM Aendelea Kukiuka Taratibu..Wema Sepetu Nae Aaibika Mgahawani

Katika hali ya kushangaza mgombea mwenza kwa tiketi ya CCM mama Samia Suluhu Hassan leo amechelewa kumaliza mkutano wake wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Usagara jijini Tanga.mama Samia alichelewa kufika mkutanoni,a lifika saa 12 kasoro na kuanza kuhutubia saa 12 kamili na kumaliza saa 12 na dakika 40.kwa mujibu wa taratibu mgombea anatakiwa kumaliza mkutano saa 12 kamili lkn taratibu ziliendelea kukanyagwa kanyagwa.

Wakati huo huo mpambe na mpiga debe wa CCM msanii Wema Sepetu amekutana na aibu alipoingia kwenye mgahawa uliipo mjini aliposema CCM oyee watu wote walikaa kimya. Alitamka mabadiliko watu wote kwa pamoja walimjibu Lowassa,baada ya kuzidiwa ndio aliposema eti huyo Lowassa mgonjwa. Kijana mmoja mpenda mabadiliko alimjibu hata raisi kikwete ni mgonjwa ndo maana alikwenda Marekani kufanyiwa operation ya tezi dume. Alipokutana na ugumu huo aliamua kuondoka zake huku akiwa hana la kusema.
CCM wanaamini Tanga ni ngome yao lkn hali imebadilika Tanga ya leo si ile ya 1995.

By Makombeni10/Jamii Forums
Tags

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sasa wewe mwandishi kilichokufurahisha nini hapo,yaani Lowasa kuwa mgonjwa ndio iwe stori au Samia kuzidisha muda?
    Inaonesha uwezo wako wa kufikiri ni sawa na bata anayetanguliza watoto mbele yeye akaja nyuma,yaani anaongozwa na watoto!

    ReplyDelete
    Replies
    1. BATA ANA AKILI SANA. WATOTO WAKIWA MBELE NI RAISI KUONA ATAKAYEWAUMIZA. SASA NYUMA UTAONA? HATA KWA BINADAMU, UKITEMBEA BARABARANI UNASHAURIWA WATOTO WAWE MBELE.

      Delete
  2. Andikeni sana nagetive za CCM lakini Magufuli mbele kwa mbele UKAWA wamekosa ushindani wa maana na kubakia kutegemea maneno ya waandishi

    ReplyDelete
  3. Nimerudi CCM kwa nguvu zote,sitaki kusema mengi lakini nimegundua CHADEMA nao ni walewale tu.kubaki bila kupiga kura haipendezi kwani ni kuidhurumu TANZANIA yangu.
    KIDUMU CHAMA CHA MAPNDUZI.

    ReplyDelete
    Replies
    1. KIGUMUUUUUUUUUU. PIPOOOOOOOOOOOOOOOZ PAWAAAAAAAAAAA

      Delete
  4. Hakika Mungu atajibu wale wamliliao kwa dhati na kuwadhalilisha wanafiki wanaotegemea kupata maslahi yao kwa kuwafumba macho wananchi..Mungu tupe kiongozi bora Mungu fanya maajabu yako.Sisi wanyonge tunakutegemea wewwe zaidi..AMANI ITAWALE

    ReplyDelete
  5. Wewe unaye jiita Frank Bukango labda kama mungu ni wa kwako peke yako mpaka hasira zako za ccm unatukana watu kuwa hawazai, na hata kama unawatoto basi nawao watapitia hicho ulichosema kuwa wema hazai na kama huna watoto na wewe utabakia hivyo hivyo utasikia watoto mtaani na kubambikwa. USHABIKI WA UKAWA NA KASHFA SIO MAHALA PAKE.

    ReplyDelete
  6. nakuonea huruma frank kwani hujui kesho yako, hapa ni siasa tuu na hata kama "ünawezaje kutoa kibanzi katika jicho la mwenzako endapo boroti katika jicho lako hujatoa????" badilika ndugu chunguza tatizo la wema angalia na wewe kesho yako je utakuwaje??????? Aaaagggrrrhhhhhhpppphhh........ umeniboa hatari japo sina ushabiki sana na huyo dada lkn haipendezi wa kiume wewe kumbuka mama ndie anaejua baba ako mzazi.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad