Mpenzi Wangu Akifika Kileleni Wakati wa Tendo ni Tatizo..Naomba Ushauri

Kwa wajuzi nisaidieni
mpenzi wangu kila akifika kileleni basi ni balaa anajisikia kichefu chefu tumbo linauma ,anadai linakaza mno na pia anajisikia kuchoka kuliko kawaida,inafikia hatua tunahairisha kazi

Hili tatizo sio siku moja,ysni ni kils siku tukikutana kimwili

Naombeni wajuzi mnijuze,kama ni tatizo au sio na nifanye nini ili kuliepuka,maana nampenda sana mpenzi angu....


Tags

Top Post Ad

Below Post Ad