Mrembo wa Kenya TIARA Apigilia Msumari Uchaguzi Tanzania Adai Lowassa Ndio Chaguo la Mungu Kuwa Rais…Na Anamahaba ya Dhati Kwake

Mremo na Mwimaji Matata Kutoka Kenya Ambae haishiwi vituko TIARA Amejitokeza na  Kutoa Maoni yake kuhusu uchaguzi wa Tanzania kwa Kusema Kuwa Watanzania Tusiwe Waoga Kufanya Mabadiliko ya Serekali Kwa Kung’ang’ania CCM , Ameandika Hayo Kwenye Ukurasa wake wa Instagram , Ameenda Mbali zaidi na Kusema kuwa Hata wao Huko Kenya Walifanya Mabadiliko ya Chama na Ndio yamewafikisha Hapo walipo sasa…..Amedai  Lowassa ni Chaguo la Mungu Hata TB Joshua Alishatabiri kuwa atakuwa Rais wa Bongo...Amedai Anamahaba makubwa na Hasa Mvi zake ndo zinamchanganya Kaisa....

Tiara Alishawahi Kutangaza Hadharani kuwa ana Mapenzi Mazito na Mwanamuziki Diamond

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ASANTE TIARRA TUPO PAMOJA,USHINDI WA MHESHIMIWA LOWASSA KWENYE UCHAGUZI MKUU WA OCTOBA HAUNA MJADALA SASA HIVI INAPIGWA PUSH TUU TOKA ASILIMIA 82 YA SASA HADI ASILIMIA 85.YAANI SASA HIVI CCM NI KAMPUNI YA KUANDAA MATAMASHA YA WASANII ILI KUWAVUTA WATU-FIESTAS FESTIVALS-WAKIMALIZA KUPIGA MUZIKI WATU WANASAMBAA WAKIAMBIWA NGOJEENI HOTUBA YA MAGUFULI WANAWAJIBU'SISI NI UKAWA TULIFUATA MUZIKI WA BURE,TUMESHIBA TUNAONDOKA,WETU LOWASSA TAREHE 25 OCTOBA 2015.

    ReplyDelete
  2. Leo hata nzi wa chooni akisema lowassa chagua la mungu na sisi kumsifia kasema jambo la maana hivi sie wabongo tukoje ktk mambo ya maisha mwatuletea kejeli kampeni za kijinga sasa hizi tuwaeleweje tufuate mkumbo kama wenye nchi hatunazo ajabu ya musa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ni Mbongo usiyeelimika bado. Mkenya kaona ukweli. Hajakulazimisha. Katoa lake analoliamini. Wangapi Wabongo mbwembwembwe. Wengi mno.

      Delete
    2. Endeleeni kununua makahaba kwani ndio kizazi chenu hicho,wakati viongozi wa dini wanahutubu kumcha mungu nyie mnakumbatia mashangingi na makahaba!

      Delete
  3. Wacheni umbea na uhuni huyo na umalaya wake atuchagulie raisi ama kweli mmeishiwa propoganda machine inaingia kutu mapema UKAWA kisha kazi mnabaki kusukuma siku kuelekea october Magufuli mnamtishia kina dadapoa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Acha Kuwadharalisha Wanawake kwa kukosa akili. Hayo ni ya kizamani. Huyu si mwanamke wako. Huyu ni mwimbaji mfanyakazi. Mwanaume kama wewe mwenye kutokuwa na chochote hukosi la kusema na kujiweka juu hata kama huna Akili. Kuwa mwanaume si tiketi ya kuwadharalisha Wanawake. Pata Elimu Mwanamke huyu ana ujasiri na anajiamini. Mpe heshima yake we mpumbavu.

      Delete
    2. We ni malaya Mwanaume. Mshoga nini. Au kakukatalia. Huwezi kumfikia wala kumpata. Ndo unamdharau. Huna chochote.

      Delete
  4. JAMANI BAADA YA TAMKO THABITI LA TIARA MSANII MWANAMUZIKI MAARUFU WA KIZAZI KIPYA KUTOKA KENYA KUTAMKA KUWA RAIS WA TANZANIA AJAYE NI MHESHIMIWA EDWARD NGOYAI LOWASSA,MAMA YANGU WEEE WAMECHACHAMAA WALE KENGE WETU WA KIJANI,YUPO NAPE,BULEMBO,LUSINDE,CHIZI NCHEMBA,SHOKA,MWAKYEMBE,MAKONDA,MSEKWA,MALECELA NA VIGODORO WAO WEMA,AUNTIE EZEKIEL NA WENGINEO,WAMECHANGANYIKIWA,AAH INAWAKATISHA TAMAA,WAMELOA KOTE KOTE,WAMEPANDWA NA KWIKWI LA HASIRA,TUNAMUONA KIGODORO ANAANZA KUVAA GAUNI KISHA ANACHUKUA CHUPI ANAVAA JUU YAKE [VISE-VERSA].HAPA HAKUNA HURUMA,CCM IJIANDAE KUWA CHAMA CHA UPINZANI HAWANA JINSI.WANAMNADI MGOMBEA KINGAMUZI REMOTE WANAPOKEZANA MKAPA NA KIKWETE.POLENI CCM.LIJALO KWENU NI JANGA KUU.MJIANDAE KUWAJIBU WATANZANIA KWA YALE MENGI MLIYOYAFICHA UVUNGUNI NA MLIYOYACHIMBIA ARDHINI,MTAKUJA YAFUKUA WEENYEWE,KWA AIDHA HIARI YENU AU SHURUTI YA MAHAKAMA.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad