Msafara wa Lowassa Kutoka Tanga Kuja Dar es Salaam Wasimamishwa na Wananchi zaidi ya Mara Nne, Wananchi Wamtaka Lowassa Aongee Nao..Nimekuwekea Picha Hapa

Msafara wa Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, ukichanja mbuga kutokea jijini Tanga kuelekea jijini Dar es salaam mapema leo asubuhi.
Sehemu ya wananchi wa Mji wa Muheza Mkoani Tanga, wakiwa wamefunga barabara, wakimtaka Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, azungumze nao leo Septemba 29, 2015, wakati akiwa safarini kwa kuelekea jijini Dar es salaam kwa njia ya barabara akitokea Mkoani Tanga.
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwahutubia wananchi wa Mji wa Muheza Mkoani Tanga, waliofunga barabara ili azungumze nao leo Septemba 29, 2015, wakati akiwa safarini kwa kuelekea Dar es salaam kwa njia ya barabara akitokea Mkoani Tanga.PICHA NA OTHMAN MICHUZI.
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akimnadi kwa wananchi Mgombea Ubunge wa Jimbo la Muheza wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).


Umati wa wakazi wa mji wa Muheza.
Ilikuwa ni furaha kwa kila aliemuona Mh. Lowassa alipokuwa akizungumza nao.
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwapungia wananchi wa Mji wa Muheza Mkoani Tanga, mara baada ya kuzungumza nao, wakati akiwa safarini kwa kuelekea Dar es salaam kwa njia ya barabara akitokea Mkoani Tanga.
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwasili kwenye Uwanja wa Chuo cha Walimu Korogwe, Mkoani Tanga kulikofanyika Mkutano wa Kampeni zake leo Septemba 29, 2015.
Waziri Mkuu wa zamani, Mh. Fredrick Sumaye akiwahutubia wananchi wa Mji wa Korogwe, katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Chuo cha Walimu Korogwe, Mkoani Tanga leo Septemba 29, 2015.
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwahutubia wananchi wa Mji wa Korogwe, Mkoani Tanga, wakati wa Mkutano wa Kampeni uliofanyika kwenye Uwanja wa Chuo cha Walimu Korogwe, Mkoani Tanga leo Septemba 29, 2015.

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Na bado
    Wataisoma no
    Wakalie Hayo hayo
    Matusi, vijembe, kashfa, wavae sare Kila kona wagawe pesa
    Watanzania chaguo letu
    Lowassa Lowassa na ukawa

    ReplyDelete
  2. SAAAAAAFIIIIIIIII SAAAANA

    ReplyDelete
  3. wananchi wanamshangilia RAIS mtarajiwa au wamtakaye, cccmmm mpoooo!!!! mtahaha sana mwaka!!

    ReplyDelete
  4. Ndugu zangu Huyu Mzee anakubalika na watu balaa. Hata humu chamani (kijani/njano) ni 50:50. Tukimponda tunamuongezea umaarufu. Hebu wapinzani watarajiwa (kijani/njano) tubadili gia tuanze kumfagilia tutampunguza nguvu. Labda kwa staili hii tutamshinda kwa 1%. Zile 83%, 61% zibandikwe makumbusho. Mwaka huu ni 0.01% hadi 1% asikudanganye mtu na tafiti.

    Ndugu zangu kwa vijembe hatutoboi Urais. Coz tunasahau hadi sera na kubaki kuiga hadi M4C ya watu tunaweka rangi ya kijani na njano. Bado kidogo utasikia na jina LOWASSA limebadilishwa rangi tu. Na huo ndio ushindi (MABADILIKO).

    ReplyDelete
  5. Huyo ndo Raiissss! LOWASA, mabango tu yanaelekeza! ya wananchi. hapo uwanjani!

    ReplyDelete
  6. kaeni maoficin mkisemema mikutano inauzuriwa na watoto. mi napita

    ReplyDelete
    Replies
    1. babu inakuuumaaa eehhhh!!! hayo ndiyo mafuriko babu!! mtoto labda ni wewe!! peoplezzzz powerrrrr!!!

      Delete
  7. Rais wetu
    Hakuna zomea zomea wala fujo
    Lowassa Lowassa 25 October
    Watanzania tokeni tumchaguwe
    Na tubakie kituoni
    Chakula bure kwa wote

    ReplyDelete
  8. Hope David
    Maiti wewe ushakufa Subiri uzikwe

    ReplyDelete
  9. Kila majira yana wakati wake
    Thanks God kutuletea Lowassa mkombozi wetu
    Kwenye ukoloni mkongwe
    Watu wanafikiri wana hati miliki ya kutawala Watanzania bila ya maendeleo yoyote
    Lowassa Lowassa Lowassa na ukawa

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad