Mtazamo: Hollywood Movies na Suala la Ushoga!

Nimependa kushare na nyie mtazamo wangu kuhusu movies na series za siku hizi toka kwa wazungu.

Nimekuwa nikishangazwa sana na movies hizi ambazo kwa ujumla stori yake inaweza kuwa nzuri tu lakini baadhi ya wahusika wamekuwa wakioneshwa wakijihusisha moja kwa moja na masuala ya ushoga au usagaji! Tena unakuta ni wahusika muhimu wanaofanya yao yakaenda.

Je,kuna nini nyuma ya haya yote? Hivi sio mpango ili tuyaone mambo haya kuwa ni ya kawaida tu? Sio mpango wao kutuonesha mtu anaweza kuwa na matendo haya machafu na akafanya mambo makubwa tu kwenye jamii? Wanatumia characters(wahusika) wenye mvuto mkubwa kwenye hiyo "story" ili kuiaminisha dunia kuwa hayo ni mambo ya kawaida tu, yaani mtu yeyote anaweza akawa "gay" na maisha yakaenda kama kawaida.

Je, wanataka kutufundisha nini? Ushoga ni LAANA kubwa kwa MUNGU ni jambo lisilotakiwa kabisa hata na tamaduni zetu za kiafrica. Watoto wetu wanajifunza nini kutoka kwenye filamu hizi? Tunajenga jamii ya sasa na ya badaye yenye mtazamo upi?

Kwa hali ya kawaida kile tunachokiona na kukisikia huathiri moja kwa moja fikra zetu na mitazamo yetu kisha tabia zetu. Mtakumbuka zamani ilikuwa ni jambo la ajabu tena la aibu kuona watu wakikiss hadharani lakini sasa ni jambo la kawaida tu, haya yote ni baada ya mitazamo yetu kubadilishwa taratibu na kile tunachokitazama.

Mtakuwa mashahidi zangu kwa series/movies kama Orphan Black, Empire, Sense 8, etc.. baadhi ya wahusika wake wamejihusisha na mambo haya maovu tena yanaoneshwa wazi wazi.

Hii ni hatari kubwa katika maadili ya jamii yetu ya sasa na ya badae. Kama tukikubali kubadili mitazamo yetu kwa kutazama mambo haya machafu, tutawezaje kuyapinga?

Hebu tuwe makini sana na kile tunachochagua kukitazama ama kukisikia. Zaidi tuwe makini na kile kinachotazamwa majumbani na watoto/wadogo au ndugu zetu.

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. DAH KWELI KABISA HAWA WANATUFUNDISHA USHOGA KWA UJANJA!!!!!

    ReplyDelete
  2. Get over yourself guys its free world not all the gays wameiga from Hollywood movies or series

    ReplyDelete
  3. Ushoga na usagaji
    Si ugonjwa bali ni hisia watu wamezaliwa navyo
    Hata wanyama wapo , Tanzania wapo wengi sana kuanzia viongozi , na watu kawaida
    Wengine wameoa na kuolewa na wanna watoto
    Tusiwabague bora ya watu kuwa wazi

    ReplyDelete
  4. Movie kama TED 2 ilikuwa nzuri sana toleo la mwanzo lakini la pili wameiharibu kabisa huwezi kuangalia na watoto. Wanafanya makusudi.

    ReplyDelete
  5. KIPI BORA KUA WAZI AU KUJIFICHA TUKAWATOMBEA DADAZENU KISIRSIR WASAGAJI WAMEJAAA MASHOGA WAMEJAAA SASA MTAWAFANYA NINI NA NDO MAISHA YAO

    ReplyDelete
  6. kujificha nimbayaa tena anaweza kukutomn=mbea hata mke wakoo n msagaji akimata mwanamke humpati hata kama ww ni bilionea ni bora wawe waz ilimwajue na mashoga wapo kibao na wasagaji tanzania wamejaa kwa sasa ni asilimia 50yawanawake wanataka kusagwa hawataki wanaume .tanznia ni nchi masikini sana hasa ktk elimu watu hawaelewi kua usagaji na ushoga sio ugonjwa ni hisia.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad