Nay wa Mitego Amvaa January Makamba..Adai January Ndio Mnunuzi Mkuu wa Akina Dr Slaa, Lupumba, Twaweza na Wasanii

Msanii  wa  bongo  fleva, Nay  wa  Mitego  amemvaa  mjumbe  wa  kamati  ya  Kampeni  ya  CCM,January  Makamba  na  kudai  yeye  ni  mnunuaji  mkuu  wa  tafiti  na  wasanii  kwa  lengo  la kukisaidia  chama  chake.

Nay  alimjibu  January  Makamba  aliyepost  ujumbe  ukionyesha  kushangaa  tuhuma  dhidi  ya  CCM  kuwa  imekuwa  ikinunua  wanasiasa,tafiti  pamoja  na  wasanii  kwa  lengo  la  kuulaghai  umma.

"Zitto kanunuliwa. Slaa kanunuliwa. Lipumba kanunuliwa. Twaweza imenunuliwa. Synovate imenunuliwa. Wasanii wamenunuliwa. Tuwe creative kidogo" Aliandika  January  Makamba.

"Ni kabisaa kwani uongo? We ndo mnunuzi mkuu. Bro kama ubunifu ni hela basi we Master wa Ubunifu... @JMakamba Ongeza ubunifu bro" Alijibu  Nay  wa  Mitego




Post a Comment

16 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. safi sana ney tena huyo jamaa ni mnafki mkubwa

    ReplyDelete
  2. msemakweli mpenzi wa mungu

    ReplyDelete
  3. Wee mangi acha ulimbukeni tumia muda kufanya yanayofanana na elimu yako hapo huna uhakika na lolote zaidi mkikutane kwenye bangi ccm wezi

    ReplyDelete
  4. Achen majungu nyinyi mtu akishabikia ccm kanunuliwa akiwa ukawa hajanunuliwa huko ndio kupanic Sasa

    ReplyDelete
  5. Ney wa Mitego,salaam.Sisi hatukujua kuwa wewe kama msanii maarufu,wa chipukizi unaweza kuwa shujaa wa kiasi hicho ,Mjibu hoja hodari na Mpambanaji Bingwa wa Ukweli Halisi na uhalisia wa uchafu mkubwa wa ccm kwa hivi sasa,wa matumizi makubwa sana ya rushwa,utakatishaji wa fedha chafu[laundeering] kwa msaada wa makusudi wa kiharamia wa benki kuu ya tanzania.yoote hayo kuhusu rushwa kubwa za ccm Chief Custodian ni JANUARY MAKAMBA.huyu kijana sasa hivi ni A wanted Internal and International Crook na kamwe hatokwepa mikono ya sheria kwa dola mpya ya UKAWA itakayochukua nchi kwa amani na utulivu mkubwa kupitia ushindi mkubwa wa mabox ya wapiga kura[astounding clear,sweeping win] katika uchaguzi mkuu wa Tanzania siku 28 tuu zijazo,yaani tarehe 25 octoba 2015.Turudi kwa january makamba.huyu ndiye Mhazini yaani mweka hazina, bwana mipango mkuu wautoaji au ulipaji wa aina,kiwango cha rushwa na muelekezaji mkuu wa mwelekeo yaani baada ya huyu,ni nani sasa anunuliwe.Alianza kwa kuwaharamisha wanasiasa ndumila kuwili legelege, njaa kali, wapenda pesa[heshima baadaye] wa kwanza alikuwa dr.slaa,wa pili profesa lipumba,wa tatu christopher mtikila,wa nne zitto kabwe na upukupuku mwingineo. Anaelekeza na kutoa fuko la pesa kisha msaliti anaongea na vyombo vya habari anavyoviandaa na kulipia yeye januari mwenyewe.yaani,january ni muhalifu kupita wahalifu wakubwa.ni mshenzi,mafia,mpotoshaji,kiburi,muangamizaji wa kuzipindua heshima za watu kwa pesa.leo hii ukimtaja dr slaa watu wanamuona ni uvundo,chanzo january.baada ya kuwanunua na kuendelea kuwanunua wanasiasa,akawarukia wasanii.mama yangu weee,wameteketea.wamevuliwa nguo na januari kisa bahasha chafu,idadi yao haitishi tuu inasikitisha.akaja kwa viongozi wa taasisi za kiraia na za dini -huko nako balaa la bahasha za pesa chafu za januari makamba zimewavua sarawili.unajua siku zote[na hii ni amri ya Mungu] Msaliti hupungukiwa utu na hekima kila anayemuona anahisi alimfuma akipoteza utu wake[anapopokea bahasha].mwisho, KWAKO NEY WA MITEGO, KIJANA SHUPAVU WA MFANO WA KITANZANIA,TUOMBEANE HERI SERIKALI IJAYO YA UKAWA[TUNAAMINI] ITAKUTUMIA IPASAVYO,KWA SABABU UMEONYESHA WEWE NI NURU YA KWELI YA MABADIRIKO.MUNGU WETU AKULINDE,AKUIMARISHE ZAIDI,AAAMEEEN

    ReplyDelete
  6. Mnafiki kama wewe mbona hujitaji jina

    ReplyDelete
  7. Na yeye Neema wa mitego kanunuliwa na ukawa

    ReplyDelete
  8. Jamaanii slaa kanunuliwa vibaya mchana kwenye peeeee!!!!!!!aibu

    ReplyDelete
  9. NINGEWAONA WA MAANA SANA KAMA KILA MMOJA ANGETUMIA MUDA HUU VIZURI KUMWOMBA MUNGU ILI AWAPE KIONGOZI ANAYE FAA, CHA AJABU MNATUMIA MUDA MWINGI SANA KUTOA KASHFA NA MATUSI NINASHANGAA NA KUSIKITIKA SANA, KILA MMOJA ANGETULIA MAHALI PAKE NA SIKU YA KURA UKAENDA WEWE KUMPIGIA YULE AMBAYE UNAMPENDA TENA ATOKE MOYONI MWAKO, NA SIO KUFUATA MKUMBO. MBONA HIVYO WATANZANIA MNA SHIDA GANI KUTWA KUCHA MATUSI YA NINI JAMANI.

    ReplyDelete
  10. PEOPLES POWER!!!! MUNGU IBARIKI CHADEMA NA UKAWA!!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  11. HA HA HA MAKAMBA NA KINANA MCT IMEWAUMBUA KWA UONGO NAWAPA HONGERA,MLISEMA MLIPELEKA BARUA YA KUSHIRIKI MDAHARO TAREHE 13/9/2015 KWA DISPACHI, MKASAHAU KUMBE ILIKUWA JUMA PILI AMBAYO MCT WAMEKIRI HUWA HAWAFANYI KZ,DUH NATAFAKARI SN CCM NINI KIMEWAPATA,KWAHIYO KUNUNUA WATU PIA INAWEZEKANA BILA HINYO HALI TETE

    ReplyDelete
  12. komesha,bloody fool,january ulidhani hautopatikana kwenye radar,umeumbuka.unacheza ngoma ya kitoto,umeichafua na unazidi kuichafua ccm.sasa hivi ccm ni pango la wezi wakubwa na,bahati mbaya munawaibia watanzania kwa kuchota pesa zao zilizopo wizara ya fedha na pia benki kuu.takwimu za uhakika vikiwemo siku,saa na ni nani aliyechukua,ni cheque namba ngapi iliyolipwa kwa ccm na au taasisi zake zinaendelea kukusanywa kwa sababu malipo haya haramu bado yanaendelea.kazi hii itahamia bungeni kwa bunge jipya litakaloanza kazi mwezi novemba.sasa hivi nyinyi kataeni kwa sababu bado tupo nje ya ulingo.kazi tamu inasubiria.kwa miaka mitano ijayo ccm kitanuka,mtaumbuana kweupe wenyewe:mtagaragazana,mtarogana,mtafukuzana.ikifikia wigo huo macho na masikio ya watanzania hususani wale mliokua mnashabikia ccm bila kuifahau vizuri,mtaigeuka! tunahesabu siku sio mwezi tena.

    ReplyDelete
  13. wanunuliwe tu lakini hawatambadilisha mtu mawazo, utakuwa bwege sana kama wewe ni UKAWA, halafu ukabadilisha maamuzi yako kwasababu ya influence ya mtu kama wema sepetu!! hawa wasanii wetu ni njaa tu hawana maana, BIG UP NEY!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wema kakukosea nini umemuona Wematu achakupanua mdomo wako sema hujapata afasihiyo hata wewe ungeitupata meno yangekua nje wivu umekujaa unatamani kuwa kama wema lakini ndo hivo una ngozi ya punda kafie mbele huko huna lolote pigini kelele oct chamato mtakiona hapakazi2 magufuli oyeeeeeeeeeeeeeeee

      Delete
    2. pumbaaa kabisa wewe usiye kuwa na akili wema ndiye nani kwenye nchi hii mpaka mtu amuonee wivu? ninanii anataka iga tabia zake? koroboi wewe!!

      Delete
    3. Katika wasanii wooooooooooooooooooote umemuona Wema tu?? Unamuhofia ndio maana unamtaja taja..........Wema upo juuuuuuuuuuuu dada, wanakuharaje.......mpaka 'wanalowasika'

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad