Shuhudia GHARIKA La LOWASSA Ndani Ya Mji wa Mereraji,Simanjiro Mkoani Manyara Jana


Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwahutubia wananchi wa Mji wa Mererani, katika Mkutano wa Kampeni zake, uliofanyika kwenye uwanja wa Machinjioni, Simanjiro Mkoani Manyara jana Septemba 25, 2015.

Sehemu ya Wananchi wa Mji wa Mererani, Jimbo la Simanjiro Mkoani Manyara wakionyesha furaha yao mbele ya Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, wakati akiwahutubia katika Mkutano wa Kampeni zake, uliofanyika kwenye uwanja wa Machinjioni, Mererani, jana Septemba 25, 2015.
Meneja wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, John Mrema akizungumza na Wananchi wa Mji wa Mererani, Jimbo la Simanjiro Mkoani Manyara. 
Waziri Mkuu wa Zamani, Mh. Fredrick Sumaye, akipokea kadi za wanachama wa CCM walioamua kurudisha kadi na kujiunga na UKAWA, wakati wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye uwanja wa Machinjioni, Mji wa Mererani, Simanjiro Mkoani Manyara jana Septemba 25, 2015.

Waziri Mkuu wa Zamani, Mh. Fredrick Sumaye, akizikusanya kadi hizo baada ya kuzipokea.

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mafurikoooooooo!!!!!! Lowasaaaaaaa, Lowasaaaaaaaaa, Mafurikooooooooo!! VIVA UKAWA!!!!

    ReplyDelete
  2. HAYA BWANA HILO GHARIKA KWELI

    ReplyDelete
  3. Iwe ni gharika iwe ni sunami.......Ikulu ni mahala patakatifu, haendi WAKUJINYEA!

    ReplyDelete
  4. Huyo FREEMASON hawezi kuwa Rais wa Tanzania

    ReplyDelete
  5. Watoto wa Mungu lugha chafu na matusi ya nini? hii ndio democracia kweli baba tuhurumie sisi waja wako, hofu ya Mungu wakati wa kuandika comments ni muhimu sana, siasa zipo tu lakini sisi sote tunabaki kuwa wana wa Mungu

    ReplyDelete
  6. MABADILIKO YA MFUMO MWAKA HUU NI LAZIMA TUTAKE TUSITAKE 25 OCT NI KUKAMILISHA TUUUU

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad