Sumaye: CCM Kama Kuna Hirizi Zenu Ikulu, Mzitoe Mapema

Aliyewahi kuwa waziri mkuu wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mh. Fredrick Sumaye, ametupa ‘Dongo’ kwa mahasimu wao kisiasa CCM, waanze kufungasha ‘virago’ mapema kwa kuwa mwaka huu ni wa UKAWA.


Akizungumza jana na mamia ya wananchi Dar es salaam, Sumaye amedai kwa miaka mingi CCM imekuwa ikiahidi ahadi bila utekelezaji, hivyo amewataka wananchi kumpigia kura nyingi mgombea wa CHADEMA/UKAWA Edward Lowassa.


“Niwaambie kabisa waanze kuondoka kuiachia Ikulu mapema, kama kuna hirizi zao waziondoe mapema waiache Ikulu ikiwa safi”.

SOURCE: Times fm Radio.
Tags

Post a Comment

14 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ni ndoto,umeota mchana mzee.
    Hata UKAWA(CHADEMA) ingetokea wakaingia ikulu wasingeweza kutimiza ahadi zote.
    Ila waliofanya CCM yapo,tena mengi tu,na kama huyaoni basi wewe mchawi.

    ReplyDelete
  2. Na yeye alishaondoa hirizi yake? Kwani alikuwepo serikalini pia........ hovyoooooooooooo

    ReplyDelete
  3. Kweli Sumaye ni Mr. Zero Brain, kaondoe hirizi yako kwanza

    ReplyDelete
  4. Hebu mwambie na huyo 'wakujinyea' naye akatoe hirizi zake, au ndio anazotumia katika kampeni??

    ReplyDelete
  5. KWELI SUMAYE UMEISHIWA LA KUNENA IMEBAKI SUKUMA TWENDE HAYO YA HIRIZI YANATUHUSU NINI KWANI NI NANI ALIYEKUPA UAMINIFU WA KUINGIA IKULU HIYO ILIIONA ZAMANI ULIPOKUWA UNATUTAPELI MASHAMBA KWA SASA SAHAU HUTAIONA N'GOOOOOOOOO

    ReplyDelete
  6. Tangu lini ccm ikatoa ikulu

    ReplyDelete
  7. Hivi wewe na huyo 'mvaa pampers' aka 'kajinyea' mliwahi kuziondoa hirizi zenu??? Usiwakumbushe wengine, kumbe na zenu zipo!

    ReplyDelete
  8. mfa maji haishi xxxxx

    ReplyDelete
  9. KELELE ZA MPANGAJI, HAZIMZUII MWENYENYUMBA KUPATA USINGIZI.

    ReplyDelete
  10. mwaka wa kuropoka huu.

    ReplyDelete
  11. IKULU NI YA MAGUFULI,MMEROGWA?

    ReplyDelete
  12. Chuki binafsi dhidi ya aliye madarakani ndio zinamsumbua hana lolote.

    ReplyDelete
  13. nani akupe nchi fisadi kama wewe hapa kazitu ki Magufuli mtasubiri saaana baada ya miaka hamsin mmjiloga wenyewe huna lolote epa niyako na mashamba yarudishe acha kubwabwaja hapo

    ReplyDelete
  14. Sasa huyu Sumaye anamchimbia mkwara Kikwete ndo anayekaa Ikulu kwani naye anagombea uraisi tena mbona hizi kampeni zenu zinapotosha malengo

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad