HomeSumayeSumaye: Nimenunua Shamba Kwa Kiinua Mgongo Changu, Mimi si Fisadi Sumaye: Nimenunua Shamba Kwa Kiinua Mgongo Changu, Mimi si Fisadi Udaku Special September 07, 2015 "Mimi ni mkweli sana, ni kweli nina shamba langu Morogoro nimelinunua kwa kiinua mgongo changu. Mimi sikutaka kuwekeza kwenye majumba kwa kuwa nilikuwa sina pesa nyingi za kununua magorofa ndio maana nikaamua kuwa mkulima" Tags Sumaye Newer Older