Kamati ya masaa 72 ya uendeshaji wa Ligi Kuu iliyokutana leo kupitia ripoti mbalimbali za michezo iliyochezwa ya Ligi Kuu na Ligi Daraja la Kwanza nchini imemfungia mchezji Juma Nyoso wa timu ya Mbeya City kucheza mpira wa miguu kwa kipindi cha miaka miwili na faini ya shilingi milioni mbili (2,000,000) kufutia kitendo cha udhalilishaji alichomfanyia mchezaji wa Azam FC John Bocco.
Nyoso alifanya kitendo hicho katika mchezo no namba 32 wa VPL kati ya Azam FC na Mbeya City uliofanyika kwenye uwanja wa Chamazi, Dar es Salaam, kutokana na kuwa tabia ya kufanya vitendo hivyo vya utovu wa nidhamu mara kwa mara kwenye michezo ya Ligi Kuu.
Huyo Nyoso nafikiri anachukua sana 'ma-kaka poa' ndio maana ameshazoea , kama ameoa atakuwa 'anamruka ukuta' mkewe, na ameshakuwa 'teja' wa mchezo huo, wala hakumbuki kama yupo uwanjani na kuna watazamaji na kamera kila kona, kubwa zaidi mchezo unarushwa live. Na akafanye kazi nyingine sasa, mpira wa miguu umemshinda
ReplyDeleteAthabu ndogo hiyo, angeongezewa kifungo kwa sababu ameshazoea kufanya vitendo hivyo
ReplyDeleteDuh!! Hilo dole alivyolididimiza, kweli alipania.
ReplyDeleteSio bure, huyu jamaa ni mfiraji!
Wapenzi hawa angalia macho wanavyotizama
DeleteKwani asimitie ngumi Kama hapendi
ADHABU NDOGO SANA!!!! ALITAKIWA AFUNGIWE MAISHA!!
DeleteHiyo adhabu ni ndogo mno kulinganisha na kitendo alichokifanya, tena sio mara yake ya kwanza, alishawafanyia wachezaji wengi, kuanzia mchangani hadi ligi kuu. Angefungiwa miaka miaka 5 au zaidi, na faini angalau milioni 10, kiasi apewe J. Bocco.
ReplyDeleteAdhabu hiyo iwe fundisho kwa wengine wenye tabia kama hizo
ReplyDeleteWapenzi hawa tazama walivyotazamana
ReplyDeleteADHABU NDOGO SANA!!!!
Delete