UKAWA Washinda Rufaa za NEC na Kufanikiwa Kuzuia Wagombea wa Majimbo Matano Kwa Tiketi ya CCM Kupita Bila Kupingwa.

Kufuatia Tume ya Taifa ya Uchaguzi kutangaza baadhi ya majimbo, wagombea wa CCM wamepita bila kupingwa, hali iliyopelekea wagombea wa vyama vya upinzani kukata rufaa NEC.

Baadhi ya rufaa zilizokatwa wagombea wamefanikiwa kushinda, hivyo majimbo hayo hayatapitwa bila kupingwa kama ilivyokuwa imetangazwa awali.

Majimbo hayo ni: 

1. Handeni 
2. Chalinze 
3. Bumbuli 
4. Ukonga 
5. Ludewa



Tags

Top Post Ad

Below Post Ad