Msituletee utafiti wa kizushi, HAPA NI KAZI TUU! na kwa taarifa Magufuli anachukia uonevu kama alivyokuwa Baba wa Taifa, hivyo usishangae hata tabia ya Magufuli kutomshirikisha mkewe wakati wa mambo ya kisiasa anamuiga BABA WA TAIFAAA!
inasikitisha,inatia shaka uwepo wa mke katika kampeni kama hizi kubwa ni lazima dunia nzima toka albania hadi zimbambwe na protocol inasema kama huna mke basi hata ndugu wa karibu wa kike.huu ndio ustaarabu wa dunia nzima.sasa kwa upande wa magufuli inasikitisha,inatia aibu,lakini kwa jinsi huyu bwana alivyomkorofi,controversal,hatabiriki inawezekana kaamua yeye hataki aambatane na mkewe.haya ni mapungufu mabaya,hayakubaliki na inafaa apewe ushauri nasaha na ccm
Mama keshajua hamna kitu hapo hivyo ni bora ajipmzikie
ReplyDeleteHAPA KAZI TUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU,
ReplyDeleteHAKUNA KITU KINGINE.
Sababu magufuli anao uwezo wa kuongea mwenyewe haitaji mtu wa kumsaidia
ReplyDeleteKama 'U-FIRST LADY' upo, upo tu, hata kama akilala nyumbani kwake au akiendelea na shughuli zake........upo!!
ReplyDeleteAnapumnzika ZAm yke ikifika ataonekana
ReplyDeleteMsituletee utafiti wa kizushi, HAPA NI KAZI TUU! na kwa taarifa Magufuli anachukia uonevu kama alivyokuwa Baba wa Taifa, hivyo usishangae hata tabia ya Magufuli kutomshirikisha mkewe wakati wa mambo ya kisiasa anamuiga BABA WA TAIFAAA!
ReplyDeleteinasikitisha,inatia shaka uwepo wa mke katika kampeni kama hizi kubwa ni lazima dunia nzima toka albania hadi zimbambwe na protocol inasema kama huna mke basi hata ndugu wa karibu wa kike.huu ndio ustaarabu wa dunia nzima.sasa kwa upande wa magufuli inasikitisha,inatia aibu,lakini kwa jinsi huyu bwana alivyomkorofi,controversal,hatabiriki inawezekana kaamua yeye hataki aambatane na mkewe.haya ni mapungufu mabaya,hayakubaliki na inafaa apewe ushauri nasaha na ccm
ReplyDelete