Ukimya Wa Mke wa Magufuli Unatia Shaka....Kunani?

Jamani Mke wa Magufuli mbona haonekani kwenye Campaign kama ilivyokua kwa Mama Salma, Mama Anna Mkapa na Mama Regina Lowassa. Kuna nini hapa katikati.

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mama keshajua hamna kitu hapo hivyo ni bora ajipmzikie

    ReplyDelete
  2. HAPA KAZI TUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU,
    HAKUNA KITU KINGINE.

    ReplyDelete
  3. Sababu magufuli anao uwezo wa kuongea mwenyewe haitaji mtu wa kumsaidia

    ReplyDelete
  4. Kama 'U-FIRST LADY' upo, upo tu, hata kama akilala nyumbani kwake au akiendelea na shughuli zake........upo!!

    ReplyDelete
  5. Anapumnzika ZAm yke ikifika ataonekana

    ReplyDelete
  6. Msituletee utafiti wa kizushi, HAPA NI KAZI TUU! na kwa taarifa Magufuli anachukia uonevu kama alivyokuwa Baba wa Taifa, hivyo usishangae hata tabia ya Magufuli kutomshirikisha mkewe wakati wa mambo ya kisiasa anamuiga BABA WA TAIFAAA!

    ReplyDelete
  7. inasikitisha,inatia shaka uwepo wa mke katika kampeni kama hizi kubwa ni lazima dunia nzima toka albania hadi zimbambwe na protocol inasema kama huna mke basi hata ndugu wa karibu wa kike.huu ndio ustaarabu wa dunia nzima.sasa kwa upande wa magufuli inasikitisha,inatia aibu,lakini kwa jinsi huyu bwana alivyomkorofi,controversal,hatabiriki inawezekana kaamua yeye hataki aambatane na mkewe.haya ni mapungufu mabaya,hayakubaliki na inafaa apewe ushauri nasaha na ccm

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad