Unaposema Lowassa mwizi, mwana CCM gani msafi ndani ya CCM?

Ametuibia sisi na tumempenda sisi shida iko wapi? kila siku lowasa mwizi, lowasa mwizi nani msafi ccm? acheni kuhadaa watu, je mkapa msafi? kikwete msafi? kuna kitu mnakijua kuhus lowasa sasa tunamtaka lowasa tuone kwa nini mnamuogopa mtu ambaye kwenu alionekana makapi.

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mnasema hamna maji ya safi ya kunywa? kwa hiyo lowassa ndo atawaletea maji ya kunywa? kwa kweli baadhi ya watanzania sijui hatutaki kuelewa ama nini? kama Lowassa kashindwa kutoa ukame wa maji wilayani kwake Monduli ambako amekuwa mbunge miaka kibao ataweza kupeleka maji Singida? Jamani akili za kuambiwa changanya na zako, kama mna matumaini makubwa hivyo kwa Lowassa basi majuto naona yatakuwa makubwa zaidi.

    ReplyDelete
  2. ZIWEKENI KASHIFA ZA MAGUFULI BASIII TUZIONE,,,, ISUE SIO CCM,,,, HATA MAGUFULI ATALETA MA BADILIKO PIA.

    ReplyDelete
  3. anonymous 11;54, Ndugu hivi umeshawahi kufka kwenye jimbo la EDO? katoa maji Meru kuelekeamonduli while wana meru wenyewe wanasufer kwa kutokuwa na maji salama ya kunywa hivyo inaonyesha anaweza TUMPE NAFASI

    ReplyDelete
  4. tunampenda EDO ata waseme nn sie ROHO KWATUUUU

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad