Utafiti wa CCM kwamba Magufuli Anaongoza kwa 69.3% Unapingana na Uhalisia Uliopo...

January Makamba Akiongea na Waandishi wa Habari
Nimekuwa nikifuatilia hali halisi ya mwamko wa kisiasa katika sehemu mbalimbali nchini, mijini na vijijini hata katika mitandao ya kijamii na kujionea jinsi UKAWA ikiungwa mkono na watu wengi mno.

"Utafiti wetu wa ndani, tulioufanya kwa kipindi cha siku kumi zilizopita katika majimbo 246 kati ya majimbo 269, unaonyesha kwamba Dr. Magufuli atapata ushindi wa asilimia 69.3 Tunaamini kwamba asilimia hizi zitaongezek kadri Watanzania wengi zaidi wanavyopata fursa ya kumsikiliza Dr. Magufuli na kusikiliza Ilani na sera za CCM"

inaonekana utafiti huu ulifanyika katika majukwaa ya kampeni za CCM kwa sababu matokeo yao yanapingana na hali halisi zikiwemo tafiti za maoni kupitia mitandao mbalimbali, kama vile


Inaonekana utafiti huu ulifanyika katika majukwaa ya kampeni za CCM kwa sababu matokeo yao yanapingana na hali halisi zikiwemo tafiti za maoni kupitia mitandao mbalimbali, kama vile

1. Poll - EasyPolls.net

2. Online Pre-election Polling, 2015 Tanzania Election : Open Discussion Forums

3. VOTE ONLINE FOR TANZANIA PRESIDENT | #VOTE4TPO | Mayocoo , Special Voting portal

Ninaamini uchaguzi ukifanyika leo CCM haiwezi kupata kura zaidi ya 25%.

By Simplicity/JF
Tags

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ni mtazamo wako,RUKSA!

    ReplyDelete
  2. Kwa fikra za harakaharaka unaweza kuona CCM haina washabiki wengi,lakini jamani kuna wazee ambao hawajui kutafuta taarifa kwa njia ya mitandao,wala kwenda kwenye majukwa zaidi ya radio,na huko vijijini ndio wengiiiiiiiiiiii,huwambii kitu kuhusu CCM,Hata uimbeje hawaelewi.Anakuambia hata okose utajiri yeye anachotaka ni amani maana wamezoea tangu enzi za Kambarage na Karume.

    ReplyDelete
  3. Kakojoe ulale usituletee ushabiki uchwara na utafiti wa propoganda mashine ya UKAWA

    ReplyDelete
  4. Uko sasa kabisa,Huo utafiti ni propaganda ya kitoto sana

    ReplyDelete
  5. Heeeh! Hii mitandao ya kupiga kura ikowapi jamani, mimi ndio leo nimejua, muwe mnaitangaza basi tupige wote, msiwe mnajipigia wenyewe kwa kurudia rudia....sawa wajameni

    ReplyDelete
  6. unaangalia kwa mtandao wakati mtu moja akiamua kupiga kwa kurudia inawezekana asikudanganye mtu sijui kama inafanya kazi ukitakakujua hilo tembelea makundi ya kahawa namikusanyiko mingine na vijijin ndio utapata akili hafu ulete huo utafiti wako wa ukawa hapa usijidanganye na umati wa watu kwenye kampeni lazima watu waende wasikilize iliwafanye uamuzi kwenye kampeni watu ni wanafiki kesho unakuta kawa ukawa leo ccm wale watu wana roteti wa asilimia kubwa ni walewale subiri octoba ndo utapata majibu mazuri......tunacho omba Mungu utupatie rais anae mtaka yeye sio wanao mtaka wanadam.....

    ReplyDelete
  7. NANI KAKUDANGANYA KWAMBA UNAUWEZO WA KUPIGA KURA KWENYE MTANDAO KWA KURUDIARUDIA??? MUWE MNAFATILIA MAMBO ACHENI KUROPOKA JAMANI

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad