Irene Uwoya |
Kupitia kurasa wake kwenye mtandao picha wa instagram, Uwoya awachana wa sanii hao kuwa yule wa nao muunga mkono hakuwahi kuwathamini hata siku moja.
"Sasa narudi kwa wasaniii wasio jitambua!katika tasnia yetu ukweli usio pingika Mh.Kikwete amekuwa karibu Sana na wasaniii na ametufanya tudhaminike.
Lakini chaajabu kunawatu wanajifanya hawajui mchango wake, kiukweli inaumiza sana!
Kunawatu walikuwa wanashinda Ikulu na Mh, anawasaidia sana katika kazi zao lakini leo wamesahau yote na kumsapot mtu ambaye hajawahi hata kuwatambua kwanafasi zao, kama sio ushabiki maandaz niniii? Loooo!!!aibu".Uwoya aliandika.
peleka njaa yako huko,kuwanufaisha kwa lipi?peleka uboya wako huko njaa tu zinawasumbua wala hampo kwa ajili ya wananchi
ReplyDeleteKusaidia Wasanii si kumlazimisha mtu awe CCM. Watu wanapima ukweli wa mambo. Kikwete ni Raisi ambaye amewaachia Wezi, ESCROW, EPA, na Wawekezaji waibie Taifa huku akiwaangalia. Amekula nao. Kutokana na hayo simuungi mkono. Kama umekula naye endelea. Ukweli utajitokeza tu.
ReplyDeleteNdio tatizo la kuvaa mawigi, Akili zote zimeisha, yaani anamfuta Mtu aliye wasaidia vijisent sio kuwaendeleza kisanaa, yaani huyu ndio hajitambui hara siasa ajue sio kufuatana, kila mtu ana amini anacho amini.
ReplyDeleteNdio maana hamna maendeleo ninyi wasanii
tujielekeze kujibu hoja zaidi kuliko kuumbuana, kuna wengine hawachingii lakini wanapitia hizi comments ili wajifunze.
ReplyDelete