Uwoya Awapa Makavu Wasanii Wasio Jitambua Wasio ona Mchango wa Kikwete na Kuamua Kumsapot Mtu Ambaye Hajawai Watambua

Irene Uwoya 
Staa wa Bongo Movies, Irene Uwoya ambaye ameshapitishwa na hama chake cha CCM kuwania ubunge wa viti maalum amewapa makavu baadhi ya wasanii wenzake wa bongo movies ambao hawakiungio mkono chama cha mapinduzi wakati baadhi yao walikuwa karibu sana na Rais Kikwete anaye maliza muda wake.

Kupitia kurasa wake kwenye mtandao picha wa instagram,  Uwoya awachana wa sanii hao kuwa yule wa nao muunga mkono hakuwahi kuwathamini hata siku moja.

"Sasa narudi kwa wasaniii wasio jitambua!katika tasnia yetu ukweli usio pingika Mh.Kikwete amekuwa karibu Sana na wasaniii na ametufanya tudhaminike.

Lakini chaajabu kunawatu wanajifanya hawajui mchango wake, kiukweli inaumiza sana!

Kunawatu walikuwa wanashinda Ikulu na Mh, anawasaidia sana katika kazi zao lakini leo wamesahau yote na kumsapot mtu ambaye hajawahi hata kuwatambua kwanafasi zao, kama sio ushabiki maandaz niniii? Loooo!!!aibu".Uwoya aliandika.

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. peleka njaa yako huko,kuwanufaisha kwa lipi?peleka uboya wako huko njaa tu zinawasumbua wala hampo kwa ajili ya wananchi

    ReplyDelete
  2. Kusaidia Wasanii si kumlazimisha mtu awe CCM. Watu wanapima ukweli wa mambo. Kikwete ni Raisi ambaye amewaachia Wezi, ESCROW, EPA, na Wawekezaji waibie Taifa huku akiwaangalia. Amekula nao. Kutokana na hayo simuungi mkono. Kama umekula naye endelea. Ukweli utajitokeza tu.

    ReplyDelete
  3. Ndio tatizo la kuvaa mawigi, Akili zote zimeisha, yaani anamfuta Mtu aliye wasaidia vijisent sio kuwaendeleza kisanaa, yaani huyu ndio hajitambui hara siasa ajue sio kufuatana, kila mtu ana amini anacho amini.

    Ndio maana hamna maendeleo ninyi wasanii

    ReplyDelete
  4. tujielekeze kujibu hoja zaidi kuliko kuumbuana, kuna wengine hawachingii lakini wanapitia hizi comments ili wajifunze.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad