mpaka mwsho wa kampeni,kuna hatari mheshimiwa magufuli akafunguliwa faili mirembe kwani viashiria vinazidi kujitokeza.haya mmeipata ya leo jioni ,ijumaa tarehe 25 septemba 2015li,hii ni kali ya aina yake sana, kule kahama kwenye mkutano wa kampeni ,magufuli karuka toka juu ya gari ya wazi,sitanii,sidanganyi namwapia mungu wangu .ilikua inatisha ngoja mtaiona picha yake,jamani jamani hatuwezi kumpeleka chizi ikulu,tutakuja kumjutia bwana mungu wetu.
chizi baba ako wewe mwenyewe chizi itaelewewka2 oct hapo ndo utajua uchizi wake uko wapi ndo mtajinyea mpaka basiiiii kuanzia washabiki hapa kazi2 acha waropoke na wewe endelea kuropoka
KWELI TUMEZIONA PICHA TATU ANANING'INI JUU YA GARI YA WAZI KAMA VILE INAUNGUA MOTO NDANI NA KISHA KURUKA HUKU AKITUKANA.JAMANI WATANZANIA HEBU CHEKENI KWA NGUVU,TUMEINGILIWA.
Akupe nani kajivune kule ufai kuwa rais wewe 👀una sera kabisa sijui hapo ñdiyo una utubia nni
ReplyDeletesasa wewe unasema magufuli hana sera na huyo bababu yako anasera gani peleka huku akili yako iliyo a lallahapa kazitu mpaka ikulu
DeleteBado sishawishiki na UKAWA ni CCM tu,wajemeniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!
ReplyDeleteSijarogwa hata,mmenuna?
Sherehekea ushindi tu Magufuli,UMEPITAAAAAAAAAAAAAAAAA
ReplyDeletempaka mwsho wa kampeni,kuna hatari mheshimiwa magufuli akafunguliwa faili mirembe kwani viashiria vinazidi kujitokeza.haya mmeipata ya leo jioni ,ijumaa tarehe 25 septemba 2015li,hii ni kali ya aina yake sana, kule kahama kwenye mkutano wa kampeni ,magufuli karuka toka juu ya gari ya wazi,sitanii,sidanganyi namwapia mungu wangu .ilikua inatisha ngoja mtaiona picha yake,jamani jamani hatuwezi kumpeleka chizi ikulu,tutakuja kumjutia bwana mungu wetu.
ReplyDeletechizi baba ako wewe mwenyewe chizi itaelewewka2 oct hapo ndo utajua uchizi wake uko wapi ndo mtajinyea mpaka basiiiii kuanzia washabiki hapa kazi2 acha waropoke na wewe endelea kuropoka
DeleteKWELI TUMEZIONA PICHA TATU ANANING'INI JUU YA GARI YA WAZI KAMA VILE INAUNGUA MOTO NDANI NA KISHA KURUKA HUKU AKITUKANA.JAMANI WATANZANIA HEBU CHEKENI KWA NGUVU,TUMEINGILIWA.
ReplyDeletesema wewe ndo umeingiliwa maana akili yako ipo kimbululambulula unawaza ulipo2 uingiliwe wewew usingizie wataz kwenda huko mtaisoma namba oc sio mbali magufuli ikulu inakusubir
Delete