Wema Sepetu Apewa Zawadi Kutoka kwa Mwanamuziki Dimpoz...Mwenyewe Adai Imemtoa Ushamba

Haya ndiyo maneno aliyoandika staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu katika mtandao wake wa Instagram baada ya kupewa zawadi ya simu na msanii mwenzake, Ommy Dimpoz: “Akhsante bwana Omary Nyembo a.k.a Dimpoz kwa poz kwa zawadi ya simu toka US japo imenitoa ushamba hahahahahaha!”

Top Post Ad

Below Post Ad