Zitto: Hakika CHADEMA Watamkumbuka Dr. Slaa Baada ya Uchaguzi

Jana katika mahojiano na Tiddo Muhando kwenye kipindi cha Funguka, Zitto Kabwe amewaonya wana CHADEMA wanaomtusi Dr Slaa kwa sababu ya Lowassa kuwa watamkumbuka baada ya uchaguzi. Watu makini kama Dr Slaa na Prof Lipumba wanaondoka na watu eti wanamuona Lowassa leo kawa bora?

Zitto kasema hivi sasa CHADEMA msingi wake umekuwa ni "Lowassa" na si kupambana na ufisadi tena. Baada ya uchaguzi hakutakuwa na CHADEMA ile tuliyoifahamu na ndipo hapo watanzania watakapomkumbuka Dr Slaa.

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. We waache tu ZITTO.

    ReplyDelete
  2. Uko sahihi Mh. Zitto Kabwe

    ReplyDelete
  3. SISHANGAI KIKWETE ANAPOKUPIGIA CHAPUO ZITTO,WEWE NI MSALITI MKUBWA WA MAGEUZI NA WANAOKUITA KIBWETELE[MGANDA KICHAA ALIYEUA MAMIA YA WAFUASI WAKE KWA MAONO YAKE AKAWAKOLOGEA SUMU AKAWAUA WOOTE] WEWE NI CCM WA KUTUPWA.WASALITI WAKUU WA MAGEUZI NCHINI MPO WANNE ZITTO,DR SLAA,LIPUMBA NA,MTIKILA MLAANIWE TENA KIKAILIFU

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad