Zitto Kabwe Atangaza Nia.. Nitagombea Urais 2020

Taswira na Nuru ya chama,Kiongozi Mkuu wa ACT amekaririwa na Azam TV katika kipindi cha siasa cha Funguka kuwa bado ana ndoto za kuwa rais wa Tanzania.Amesisitiza kuwa 2020 atagombea urais kupitia chama chake.MY TAKE:Kama zigo Mnalo ACT,hivi kweli hiki ni kipindi cha kutangaza nia?

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad