Alichokiandika Zitto Kuhusu Rafiki Yake Deo Filikunjombe

Zitto aliandika >>> ‘Naomba utulivu.

1) ajali ya helkopta imethibitishwa 

2) kuwaka hakujathibitishwa

3)ndugu yangu Deo alikuwamo 

4)hakuna uthibitisho wa madhara, naomba utulivu mpaka tupate taarifa rasmi zilizothibitishwa na mamlaka husika, naomba sana hilo ili kuepuka sintofahamu

Top Post Ad

Below Post Ad