Diamond Platnumz Ameweka Ujumbe Huu Katika Page yake ya Instagram:
"Dah, I realy don't know What to say ...
dha! hata sijui nizungumze nini...
(Eeh Mungu baba tunakushkuru sana kwa kuzidi kuunyanyua na kuupa Thamani mziki wetu wa Afrika Mashariki...tafadhali endelea kutushika mkono, usituache)"
hata ommy kapata, mbona humuandiki?
ReplyDeletehakuna jipya,
ReplyDeleteHATA DAI ANAPENDA SIFA KULIKO HAO UNAOWAFUMBIA, HAKUNA JIPYA AJAZE KABATI TUU
ReplyDeleteningemuona wa maana sana Domo kama angepima DNA kwanza then, vikombe.
ReplyDeleteMuombe radhi baba yako utapata sana
ReplyDeleteAchana ushirikina pia
Elimu nikitu muhimu sana weye kupima DNA na kazi yake inahusu nini apo wala siasa inahusu nini tareh 25 kila kitu kitaisha mtarudiya kama kawaida maisha yana endeleya
ReplyDeleteElimu nikitu muhimu sana weye kupima DNA na kazi yake inahusu nini apo wala siasa inahusu nini tareh 25 kila kitu kitaisha mtarudiya kama kawaida maisha yana endeleya
ReplyDeleteKuna mijitu ilisema safari hii hatopata eti kwa sababu kajiingiza kwenye siasa,na kwamba watakaomuunga mkono labda ni CCM tu,kiko wapi sasa mbona kapata?Diamond ni kama binadamu wengine,ana uhuru wa kupenda chama kinachomvutia.
DeleteHongera sana dogo.