Baada ya Kushinda Tuzo Tatu za AFRIMMA 2015, Mwanamuziki Diamond Asema Haya Kuhusu Mziki wa Tanzania

Diamond Platnumz Ameweka Ujumbe Huu Katika Page yake  ya Instagram:

"Dah, I realy don't know What to say ...
dha! hata sijui nizungumze nini... 
(Eeh Mungu baba tunakushkuru sana kwa kuzidi kuunyanyua na kuupa Thamani mziki wetu wa Afrika Mashariki...tafadhali endelea kutushika mkono, usituache)"

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hata ommy kapata, mbona humuandiki?

    ReplyDelete
  2. HATA DAI ANAPENDA SIFA KULIKO HAO UNAOWAFUMBIA, HAKUNA JIPYA AJAZE KABATI TUU

    ReplyDelete
  3. ningemuona wa maana sana Domo kama angepima DNA kwanza then, vikombe.

    ReplyDelete
  4. Muombe radhi baba yako utapata sana
    Achana ushirikina pia

    ReplyDelete
  5. Elimu nikitu muhimu sana weye kupima DNA na kazi yake inahusu nini apo wala siasa inahusu nini tareh 25 kila kitu kitaisha mtarudiya kama kawaida maisha yana endeleya

    ReplyDelete
  6. Elimu nikitu muhimu sana weye kupima DNA na kazi yake inahusu nini apo wala siasa inahusu nini tareh 25 kila kitu kitaisha mtarudiya kama kawaida maisha yana endeleya

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kuna mijitu ilisema safari hii hatopata eti kwa sababu kajiingiza kwenye siasa,na kwamba watakaomuunga mkono labda ni CCM tu,kiko wapi sasa mbona kapata?Diamond ni kama binadamu wengine,ana uhuru wa kupenda chama kinachomvutia.
      Hongera sana dogo.

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad