Baada ya Sugu Kushinda Ubunge..Faiza Ally Mama Mtoto Wake Afunguka Kumpenda Japo Wameachana Kwa Sasa..

Aliyekuwa mpenzi  wa mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph ‘Sugu’ Mbilinyi, Faiza Ally ameamua kuweka wazi kuwa japokuwa wamegombana na mzazi mwenzake  lakini bado anampenda na kumthamini.

Kupitia kwenye akaunti yake wa instagram amepost picha ya Sugu na kuandika>>Alie kwambia simpendi nani ???? Nampenda ndio maana nili zaa nae 😍😍😍 na sio lazima nilale nae na kuamka nae ndio mjue nampenda – unaweza unampenda mtu kwa mbali na bado ukasimama kwenye ukweli tu – kwa mimi that’s true love – 📌 – oh yes nampenda na nina mpenzi tunapenda ! So what?????‘aliandika

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad