BREAKING NEWZZ....Ndege ya kivita ya JWTZ yaanguka baharini, wanajeshi wawili wahofiwa kufa

Muda mfupi uliopita ndege yetu ya kivita imeanguka baharini na kusababisha vifo vya watu wawili. Lt. Col Ndongolo na Capt. Hamis waliokuwa kwenye ndege hiyo.

Ndongolo alikuwa mkufunzi na Hamis alikuwa rubani mwanafunzi.

Walikuwa eneo la Msasani, Dar; zimepatikana parachutes na helmet za vichwani mwao ila Makamanda wetu hawajapatikana. Na ndege pia imepatikana


JWTZ imethibitisha leo kuwa ndege ya mafunzo ya kijeshi imeanguka mwambao wa Kunduchi, Dar ikiwa na marubani 2. Marubani hao bado hawajapatikana.



Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad