Kingunge anaijua CCM zaidi ya mtu yoyote nje na ndani ya CCM. Kingunge anajua fitna zote za uchaguzi na hakuna uchaguzi ambao hajawahi kuona wa kisiasa na wala kutoushiriki kwa namna yoyote.
Kinguge amekaa kimya hadi mwishoni. Kingunge alisema amestaafu na ametoka CCM na sasa yuko na mgombea wa UKAWA. Kuna mengi ya kujiuliza ndani ya kingunge.
Siandiki kishabiki ila kuna tetemeko Oct 25. May be Kingunge kaona mbali, wanaombeza wambeze!
CCM Watch out : Kingunge! Huyu Mzee si wa Kubeza Hata Kidogo
6
October 09, 2015
Hana diliii kelele za chura hazimshindi tembo kunywa maji
ReplyDeleteSemeni sana CCM
ReplyDeleteKwani manategemea bao la mkono
Ukawa tuna MAIT walisomeo majuuu toka pande zote zenye kutukuka duniani ITS
Lowassa na wote ukawa hawaibiwi kura mwaka huu NGO
Ndio hiyo siku ya kelele za chura kumshinda tembo kunywa maji zinakaribia......Mtalia kilio cha tembo
ReplyDeleteMABADILIKO HAYANA RIKA ASANTE MZEE WETU TUWEMO,TUMECHOSWA NA MASHAILI ZA TAPELI CCM
ReplyDeletePesa za ubungo zimeisha. Stand ya mabasi
ReplyDeleteKuchu kauze Kama kina Nape na Makonda
Delete