CCM Watch out : Kingunge! Huyu Mzee si wa Kubeza Hata Kidogo

Kingunge anaijua CCM zaidi ya mtu yoyote nje na ndani ya CCM. Kingunge anajua fitna zote za uchaguzi na hakuna uchaguzi ambao hajawahi kuona wa kisiasa na wala kutoushiriki kwa namna yoyote.

Kinguge amekaa kimya hadi mwishoni. Kingunge alisema amestaafu na ametoka CCM na sasa yuko na mgombea wa UKAWA. Kuna mengi ya kujiuliza ndani ya kingunge.

Siandiki kishabiki ila kuna tetemeko Oct 25. May be Kingunge kaona mbali, wanaombeza wambeze!

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hana diliii kelele za chura hazimshindi tembo kunywa maji

    ReplyDelete
  2. Semeni sana CCM
    Kwani manategemea bao la mkono
    Ukawa tuna MAIT walisomeo majuuu toka pande zote zenye kutukuka duniani ITS
    Lowassa na wote ukawa hawaibiwi kura mwaka huu NGO

    ReplyDelete
  3. Ndio hiyo siku ya kelele za chura kumshinda tembo kunywa maji zinakaribia......Mtalia kilio cha tembo

    ReplyDelete
  4. MABADILIKO HAYANA RIKA ASANTE MZEE WETU TUWEMO,TUMECHOSWA NA MASHAILI ZA TAPELI CCM

    ReplyDelete
  5. Pesa za ubungo zimeisha. Stand ya mabasi

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kuchu kauze Kama kina Nape na Makonda

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad