CHADEMA mtamkumbuka Zitto na Slaa, CUF hawataisahau CHADEMA

Slaaa
Kwa mwenendo wa matokeo rasmi viti vya ubunge tayari CHADEMA yaelekea kupoteza viti vingi vya ubunge pamoja na udiwani hii inaonyesha wazi umahiri wa Zitto kabwe na Dr. Slaa walivyofanya kazi kubwa kwa kutumia upeo wao mkubwa wa ushawishi wa kisiasa kuipa mafanikio makubwa CHADEMA katika uchaguzi uliopita 2010 na kujizolea majimbo mengi ya ubunge na udiwani.

Lakini kama ilivyo chadema ya akina Mbowe inamalengo yake maalumu kwa watu maalumu.na ktk kuelekea kutimiza malengo yake huwatumia wale political genius kama kijiko cha jikoni Kuwavusha point A kwenda point B baadaye huwajengea zengwe ili iwafukuze au waj iengue wenyewe na wakati mwingine huisiwa kutumika hata njia za kimafya ili kuwaweka pembeni kama ilivyo jiri kwa Chacha wangwe, Dr.Kaburu, Zitto kabwe, hatimaye Dr. Slaa hawa kila mmoja alipewa sehemu yake ya kazi na wamiliki wa CHADEMA pasi na wawo kujitambua. wakisaidiwa pembeni na vuvuzela akina Tundulisu na Mnyika. ili kusafisha njia mtoto wao Mbowe aingie Ikulu kirahisi. Kazi hiyo waliifanya na Slaa akawafikisha ktk geti la Ikulu.
Zitto Kabwe
Master plan akaona itakua ni vigumu sana kumuengua slaa kama atafanikiwa kuingia ikulu kwa sababu mzizi wake ktk chama ni wahatari kwa hiyo hapa kuvuka kuingia ikulu lazima apatikane mtu ambaye anaushawishi wa kisiasa lakini hana mzizi ktk chama ili tukisha ingia ikulu iwe rahisi kumuosha kwa bahti isiyotegemewa akapatikana Luwasa tena akawa ni jiwe moja kwa ndege wawili,kwanza ni fimbo ya kumfukuzia Dr,slaa pili ni lift ya kuwaingiza ikulu.tatu kuachia nafasi ni rahisi mno kwa mujibu wa afya yake.

Cuf nawo wakazuguushwa ukuti ukuti bila kujua wakatumika kama petroli ya kuchochea gari la kuipeleka Chadema ikulu bila wawo kutanabahi kuwa kwa mchezo huo baada ya uchaguzi watakufa kifo cha mende mbendembende miguu juu. nafasi yao ya 3 huku bara inachukuliwa na ACT Wazalendo, HEKO ZITTO.

Hii ndio move waliocheza Chadema's master mind. kwa bahati mbaya mkanda umeungua ikulu hakuingiliki na uwakilishi mkubwa wa ubunge na udiwani umetoweka.

Move kama hii Jems hardly chess huiita THE WAY THE COOKIE CRUMBLES. Kwa wale wasomi wa zamani wa novel wanajua.

By Papaayenga/JF
Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Acha Uswahili . Hii inahitaji elimu ya Juu sana. Slaa angekuwa na utu Angebadilisha pia. Achaneni na Slaa. Nia yake Uraisi sio Watanzania. Sawa na Zitto Uraisi ubinafsi. Kijana mwenye mafikra hajui namna gani mafikra yake yafikie ukingoni. Atashindwa tu. Watu kama hwa wana ubinafsi zaidi ya kundi au Wananchi. Kujisg=husha kwao mwiko. Mwingine anaile, Usomi Ujerumani, Zitto kabwe. Lakini Hajui mshikamano wa Kisiasa Ujerumani. Nawajua Wajerumani jinsi siasa zao ni maisha. Zito kapata kuona chembe tu. Hajui muungano wa Kisiasa wa Ujerumani. Wao ni maisha ya kisiasa kila siku. Mssiwadanganye Watanzania sababu mmesoma huko. Hamkuwa kati ya Jamii ya Ujerumani kuelewa Ujerumani. Ni waigizi tu wala hamna uzalendo. Ni wasomi wababaishaji wengi ti mnaowaendesha na kuwapotosha Watanzania Mkitumia mifumo ya nchi mlizoenda na bila kuweka Uzalendo wenu mbele. Ni mashangingi , na mashoga bila misuli.

    ReplyDelete
  2. Nyinyi Mnaoandika hapa wote ni wapumbavu. Hawa mliowataja mnawapa vichwa ambavyo hawahitaji. Ni wapumbavu Watanzania wengi ambao hawana mwamko, mwelekeo, msimano, akili . Wanaandika mabo ya j=kipumbavu. Wafrika wengi Wapumbavu. Badala ya kuona mbali na kutafakari mambo wanaunganisha mizozo. Elimu anayoipigania Lowassa inasababu zake. Hwawa viongozi waliopita ni mabwenyenye. Angalia vitambi na matumbo yao. Wamekuwa vilema. Wafupi kama mbilikimo. Wanaugonjwa wa kuwa wafupi. Hawajiamini, Hawajipendi, wanaonana aibu kimaumbile. Hata wakiwa na pesa, ni ubwenyenye wanakula kama marofa. Hawana ustaarabu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. hata wewe ni mpumbavu na mjinga, sasa hapo umeandika nini kama siyo upumba tu shenzi zako

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad