Mjumbe wa kamati ya kampeni ya chama cha Mapinduzi, Christopher Ole Sendeka amelaani kitendo cha mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa kuruhusu vijana kusafisha barabara ya lami ili msafara wake upite akidai kuwa huo ni utumwa.
Ole Sendeka alitoa kauli hiyo jana wakati akiwa katika mkutano wa kumnadi mgombea mwenza wa CCM, Samia Suluhu Hassan mjini Geita.
Juzi mjini Musoma na jana Jijini Mwanza walijitokeza vijana na kupiga deki barabara ili Lowassa apite, wakisema hawataki apate mafua.
Sendeka jana alikemea kitendo hicho katika mikutano kadhaa mkoani Geita akisema, “Lowassa anatumia umaskini wa vijana wetu kuwalipa fedha ili wamwage maji kwenye barabara ya lami kusafisha barabara msafara wake upite. Huo ni utumwa si utumwa?” aliuliza Sendeka na kujibiwa na wananchi kwa sauti, “Ni utumwa.”
“Namtaka Lowassa asitumie nafasi yake ya ugombea urais kudhalilisha utu wa vijana kwa sababu ya fedha zake, tena ambazo hakuzipata kihalali kuwalipa vijana wetu eti wakamsafishie barabara ya lami apite,” alisema.
Sendeka alisema kitendo hicho cha aibu kimeona matairi ya gari la Lowassa yana thamani kuliko utu wa vijana.
“Kama kweli hakufadhili mpango huo wa kulipa vijana wafanye hivyo kwa nini hakuwakataza alipoona wanamwaga maji ili msafara wake upite,” alihoji.
Christopher Ole Sendeka Akerwa na Tabia ya Vijana Kupiga Deki Barabara Ili LOWASSA Apite.......Asema Huo ni Sawa na Utumwa
11
October 13, 2015
Wee shida yako nini? Fanyeni yenu, tuache tufanye yetu!!!... Wakati mnashangaa shangaa, watu wanamwaga sera, nyie mmekalia unafiki ti, kwenda zako kule!!!!!
ReplyDeleteVinakusuhusu nini
ReplyDeleteKwani tunapenda push up tena hata mgongo wa push up umebweteka Kama mgongo wa Kobe
Natamani ningekuwa bongo ningemuonesha mapombe jinsi ya kupiga. Push up
Kina mwigulu,Na Yule tapeli WA maliasili aliyeowa kiji miss Tanzania
Watoto wadogo hata push up hawajui halo
Labda mtawawezeni Mtu mzima ataona raha
ReplyDeleteCCM kwa ushoga jadi yao
Utumwa tumekuanoo ndani ya CCM
ReplyDeleteMany many years fuck
Fade up fade up
Hallo sendeka ulitaka wakutawaze wewe
ReplyDeleteMtu ovyo
Kama umekereka sana mzee ole kula ndimu kiroba kizima itakusaidia.
ReplyDeleteMtaji WA masikini nguvu zake sisi tu masikini jamani
ReplyDeleteCCM unauwezo kuita kina diamond, Kiba ,kopa Na wasanii wakubwa
Tatizo liko wapi
Tuwacheni na Lowassa wetu
mbona wakati obama anakuja serekali yako hiyo hiyo ya CCM ilideki barabara ili obama apite.. je hukuona kama huo ni utumwa, uje kutupigia makelele leo...?!
ReplyDeleteLowasa ni obama wa Ukawa jamaniii msitukane Babubwa wa tu watu haja sema mtu Fuck na vingeteza vyenu vya kubebea box,,,,ikulu hamuiingii hata mpige deki Magufulinakishindwa nchibinatawaliwa na jeshiii subiri muoneeee,,,,Mr Richmund na Sumayeee big noooooooooooo,,,,,,,,,,hakuna mabadiliko hapo mtaita watu bich fuck kimpango wenu nani asie jua Chadema na matusi yao,,,ukawa mna buruzwa na chadema haamjijuii tu poyoyoooo,,,
ReplyDeleteHujujui wewe unayepewa kofia , kanga , kitenge Na mshiko WA 10000 unauza utu wako
DeleteUnashinda njaa siku mzima kusubiri ma pombe na majizi wenzake uwapigie kampeni
It's will cost your life
Open your eyes you people
Kwanini wazungu wameendelea wanachagua viongozi wakiona hawaleti maendeleo wanawatema kwenye uchaguzi
Nyie miaka 50 Kila kukicha sera zile zile
Wazungu wanatushangaa . Walipokuja Africa miaka zaidi 500
Waliwapa zawadi machifu wetu au kubadilishana zawadi , baadaye wakatutawala
Hali ipo hadi Kesho Africa bajeti zetu ni tegemezi kwa wazungu , pamoja Na kuwa rasilimali nyinyi , kwa sababu ya ujinga Na upumbavu hasa viongozi wa CCM
Watanzania aamkeni
It's our chance this year
Change means new leaders new party mawazo mapya
Eti kisarawe nao wafuta vumbi Barabara kwa mapombe hallo tumezoe ulaka Na mnazi
DeleteWetu kingude masikini mwezetu Na anajuwa tabia zetu Na tunataka nini