Christopher Ole Sendeka Akerwa na Tabia ya Vijana Kupiga Deki Barabara Ili LOWASSA Apite.......Asema Huo ni Sawa na Utumwa

Mjumbe wa kamati ya kampeni ya chama cha  Mapinduzi, Christopher Ole Sendeka amelaani kitendo cha mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa kuruhusu vijana kusafisha barabara ya lami ili msafara wake upite akidai  kuwa  huo  ni  utumwa.

Ole Sendeka  alitoa  kauli  hiyo  jana  wakati  akiwa katika mkutano wa kumnadi mgombea mwenza wa CCM, Samia Suluhu Hassan mjini Geita.

Juzi mjini Musoma na jana Jijini Mwanza walijitokeza vijana na kupiga deki barabara ili Lowassa apite, wakisema hawataki apate mafua.

Sendeka jana alikemea kitendo hicho katika mikutano kadhaa mkoani Geita akisema, “Lowassa anatumia umaskini wa vijana wetu kuwalipa fedha ili wamwage maji kwenye barabara ya lami kusafisha barabara msafara wake upite. Huo ni utumwa si utumwa?” aliuliza Sendeka na kujibiwa na wananchi kwa sauti, “Ni utumwa.”

“Namtaka Lowassa asitumie nafasi yake ya ugombea urais kudhalilisha utu wa vijana kwa sababu ya fedha zake, tena ambazo hakuzipata kihalali kuwalipa vijana wetu eti wakamsafishie barabara ya lami apite,” alisema.

Sendeka alisema kitendo hicho cha aibu kimeona matairi ya gari la Lowassa yana thamani kuliko utu wa vijana.

“Kama kweli hakufadhili mpango huo wa kulipa vijana wafanye hivyo kwa nini hakuwakataza alipoona wanamwaga maji ili msafara wake upite,” alihoji.

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wee shida yako nini? Fanyeni yenu, tuache tufanye yetu!!!... Wakati mnashangaa shangaa, watu wanamwaga sera, nyie mmekalia unafiki ti, kwenda zako kule!!!!!

    ReplyDelete
  2. Vinakusuhusu nini
    Kwani tunapenda push up tena hata mgongo wa push up umebweteka Kama mgongo wa Kobe
    Natamani ningekuwa bongo ningemuonesha mapombe jinsi ya kupiga. Push up
    Kina mwigulu,Na Yule tapeli WA maliasili aliyeowa kiji miss Tanzania
    Watoto wadogo hata push up hawajui halo

    ReplyDelete
  3. Labda mtawawezeni Mtu mzima ataona raha
    CCM kwa ushoga jadi yao

    ReplyDelete
  4. Utumwa tumekuanoo ndani ya CCM
    Many many years fuck
    Fade up fade up

    ReplyDelete
  5. Hallo sendeka ulitaka wakutawaze wewe
    Mtu ovyo

    ReplyDelete
  6. Kama umekereka sana mzee ole kula ndimu kiroba kizima itakusaidia.

    ReplyDelete
  7. Mtaji WA masikini nguvu zake sisi tu masikini jamani
    CCM unauwezo kuita kina diamond, Kiba ,kopa Na wasanii wakubwa
    Tatizo liko wapi
    Tuwacheni na Lowassa wetu

    ReplyDelete
  8. mbona wakati obama anakuja serekali yako hiyo hiyo ya CCM ilideki barabara ili obama apite.. je hukuona kama huo ni utumwa, uje kutupigia makelele leo...?!

    ReplyDelete
  9. Lowasa ni obama wa Ukawa jamaniii msitukane Babubwa wa tu watu haja sema mtu Fuck na vingeteza vyenu vya kubebea box,,,,ikulu hamuiingii hata mpige deki Magufulinakishindwa nchibinatawaliwa na jeshiii subiri muoneeee,,,,Mr Richmund na Sumayeee big noooooooooooo,,,,,,,,,,hakuna mabadiliko hapo mtaita watu bich fuck kimpango wenu nani asie jua Chadema na matusi yao,,,ukawa mna buruzwa na chadema haamjijuii tu poyoyoooo,,,

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hujujui wewe unayepewa kofia , kanga , kitenge Na mshiko WA 10000 unauza utu wako
      Unashinda njaa siku mzima kusubiri ma pombe na majizi wenzake uwapigie kampeni
      It's will cost your life
      Open your eyes you people
      Kwanini wazungu wameendelea wanachagua viongozi wakiona hawaleti maendeleo wanawatema kwenye uchaguzi
      Nyie miaka 50 Kila kukicha sera zile zile
      Wazungu wanatushangaa . Walipokuja Africa miaka zaidi 500
      Waliwapa zawadi machifu wetu au kubadilishana zawadi , baadaye wakatutawala
      Hali ipo hadi Kesho Africa bajeti zetu ni tegemezi kwa wazungu , pamoja Na kuwa rasilimali nyinyi , kwa sababu ya ujinga Na upumbavu hasa viongozi wa CCM
      Watanzania aamkeni
      It's our chance this year
      Change means new leaders new party mawazo mapya

      Delete
    2. Eti kisarawe nao wafuta vumbi Barabara kwa mapombe hallo tumezoe ulaka Na mnazi
      Wetu kingude masikini mwezetu Na anajuwa tabia zetu Na tunataka nini

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad