Dr. John Pombe Magufuli Awasha Moto Mkoani Geita (Nkome)..Atembelea Kaburi la Babu na Bibi yake

Zikiwa zimebaki siku chache wa Tanzania wapige kura ya kumchagua Raisi wa awamu ya Tano. Jana Dr. John Pombe Magufuli alikuwa na mkutano mkoani Geita (Nkome).

Pia Dr. John Pombe Magufuli alitembelea kaburi la bibi yake na babu yake katika kijiji cha Katoma.

Top Post Ad

Below Post Ad