EXCLUSIVE: Video ya Kilichonaswa kwenye Talaka ya Flora Mbasha na Mumewe...Flora Mbasha Adai Bado Anampenda Mumewe

October 6 2015 waimbaji wa gospel ambao ni wanandoa, Flora Mbasha na mumeweEmmanuel Mbasha walifika Mahakamani kwenye kesi ya madai ya talaka iliyofunguliwa na Flora zaidi ya mwaka mmoja uliopita na maamuzi haya ndio yakatangazwa yote yapo kwenye hii video hapa chini.

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mungu yu mwema,yaishe jamani,tunapenda kuona mkiwa pamoja.
    Binadamu tupo na ma-uongo yetu,leo hili kesho lile,msisikilize.HOFU YA MUNGU KWANZA.

    ReplyDelete
  2. USIKUBALI HUYO MWANAMKE NI NYOKA ATAKUUA HIYO KESI ALIYOKUTAFUTIA UNGEKUWA UNANYEA DEBE MAISHA YAKO YOTE .USIKUBALI

    ReplyDelete
  3. Nimefurahi sana sas nachukua jembe likavune. Mbasha msamehe mkeo usijali ya wanaulimwengu hapa ni wapitaji tu. aliyekosea ajisahihishe tu maisha yaendelee, muhimu kumbuka kwamba kuna taji lingine baada ya maisha ya hapa.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad