Haya ni Mambo 13 kwanini Matokeo ya Uchaguzi mkuu Tanzania Bara Hayatofutwa.. (Video)

October 29 2015 ni siku ambayo vichwa vya habari magazetini vimetawaliwa na stori ya kuahirishwa Uchaguzi mkuu Zanzibar pamoja na matokeo yake yote kufutwa.

Hiyo ni habari iliyotokana na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC, Jecha Salim Jecha kutangaza kufuta matokeo ya Uchaguzi huo huku akitaja sababu kadhaa za matokeo hayo kufutwa.

Hapa ni video ya Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi NEC, Jaji Damian Lubuva akitaja sababu na kuthibitisha kwamba matokeo ya Uchaguzi mkuu Tanzania bara yataendelea kutolewa.
Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. HATA TURUDIE MARA KUMI ATAKAESHINDA NI MAGUFULI.UKAWA TUJIPANGE UPYA,KWANI TUMECHEMKA TANGU MCHAKATO WA KUMPOKEA EDO KUJA UKAWA NA HAPO NDIPO WANACHAMA WENGI TULIKAA KANDO KUANGALIA UPEPO UNAKOELEKEA.UPENZI NA USHABIKI WA MAJI TAKA HAUTUFAI.MUNGU IBARIKI TZ.

    ReplyDelete
  2. Wewe mzee chunga chunga

    ReplyDelete
  3. Boko haram totoleeni hichi kizee na wapambe wake

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad