Hii Ndio Inaweza Kuwa Sababu kubwa CCM Kushindwa Vibaya Uchaguzi

Alipoulizwa anafikiri kwanini McCain alishindwa na Obama 2008, mshauri wake akajibu, "Our campaign turned tactical rather than strategic. We focused more on why Obama should not be president, but much less on why McCain should be." -Wall Street Journal.

(Najaribu kuwaza kuwa CCM itashindwa vibaya not because Magufuli hafai, bt because wametumia muda mwingi kutuekeza kwa nini Lowassa hafai badala ya kutuambia kwa nini Magufuli anafaa).

The same happened kwa Rais Buhari.... Jonathan na Chama chake walikuwa busy kumsema na kumchimba Buhari (Mara mgonjwa, atakufa, ni Mzee, ni mfadhili wa Boko Haram) badala ya kuwaeleza wananchi ni nini watafanya...

Kwa kuwa zimebaki siku 5. Hakuna miujiza yanayoweza kutokea, CCM ijiandae kupata pigo takatifu..

Top Post Ad

Below Post Ad