Hii ya Maalim Seif Nimeielewa, ila Hii ya Lubuva Inawalakini mh!

Uchaguzi huu,Vile Vile unaathiri uchaguzi wa Jamhuri ya Muungano.Kwamba Wapiga Kura Wa Zanzibar Wote Walishiriki uchaguzi wa jamhuri ya muungano.

Lakini anayeendesha Uchaguzi wa Muungano Hapa (Zanzibar) Ni ZEC kama wakala wa NEC.
Sasa Ukisema kwamba unafuta Uchaguzi Zanzibar,Unafuta Uchaguzi wa RAISI wa jamhuri ya Muungano kwa upande wa Zanzibar. Unafuta Uchaguzi wa wabunge kwa upande wa Zanzibar.

Kwa hiyo basi,Huwezi ukamuapisha raisi atakayechaguliwa kwa upande mmoja wa Muungano akawa ni Raisi wa TANZANIA. Na Akiapishwa Huyo atakuwa ni Raisi wa TANGANYIKA.

Vilevile Huwezi kuwa na Bunge la Muungano Bila ya Wabunge kutoka ZANZIBAR. Wakikutana Peke Yao Itakuwa Ni Bunge La TANGANYIKA......." ~Maaalim Seif Sharif Hamad

Wale wazee wa sheria Tupeni Msaada!!.. Tufuate Lipi????
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mtu mzima huyu
    Bongo Hakuna boko haram jamani
    Kizee hiki kitutie shida kisa Jk Na makapi yake

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad