Hili la JWTZ Kuanza Kupeleka Vifaru Mtwara Limekaa aje? Wanawake na Watoto Waanza Kuondoka Mtwara Wakihofia Vurugu

Wakuu nimeona Sauti ya Ujerumani DW wakiripoti kwamba Mtwara watu wamenza kuondoka mara baada ya kuona magari ya kijeshi pamoja na vifaru mtaani sasa inakuwaje kipindi hiki magari ya kijeshi mtaani?

Shirika  la  utangazaji  la  Ujererumani,DW  limeripoti  leo  mchana  kuwa idadi kubwa ya watu  wameanza kuondoka  mkoani Mtwara  wakihofia hali ya usalama wakati wa uchaguzi.

Kwa mujibu wa Dw,watu wengi  wanaoondoka  ni wanawake na watoto, hali ambayo inaelezewa inatokana na vurugu za gesi za mwaka 2013,  kuonekana kwa baadhi ya vifaa vya jeshi na wanajeshi wakiwa kwenye vifaru.

Top Post Ad

Below Post Ad