Huyu Dada Anajiita Jack Wolper Ameweza Sana Kwenye Hizi Kampeni

Yaani huwezi kumfananisha na activist yeyote. Yaani ukichunguza post zote za siasa alizopost Insta utakubaliana na mimi kwamba ameonesha ubunifu wa hali ya juu na weledi wa kumnadi Lowasa na CHADEMA. Hata yeye peke yake kwa quality ya post zake ni zaidi ya akina Wema, Aunt na wengineo ukiwajumlisha wa kambi ya Magufuli. Yaani japo nlikua simjui ni nani ila kupitia post zake nimeona ni mdada anaejielewa kiasi kushinda hao celebrities wengine. Na hata ubongo wake utakuwa na IQ kushinda hao wengine...

Nyinyi wenzangu mlioko insta sijui mmeona vip ukiweka uchama pembeni.

Kwa hiyo huyu Wolper mi nampa alama A na moja kwa moja namtunuku degree ya heshima " HONORIS CAUSA FIRST CLASS"

Top Post Ad

Below Post Ad