Jack Wolper Ndoa Yamtia ‘Uchizi’

CHIZIKA! Wakati hekeheka za maandalizi zikipamba juu ya ndoa ya karne ya staa wa sinema za Kibongo, Wolper, mwanadada huyo anaonekana kuingiwa na ‘uchizi’ juu ya suala hilo ambapo muda wote anawaza ni kwa namna gani ataweza kuweka historia juu ya shughuli yake. Akizungumza na Ijumaa Wikienda, hivi karibuni ndani ya Ukumbi wa Jozi

Village, jijini Dar, Wolper alisema: “akili haijakaa sawa kabisa, nawaza juu ya ndoa yangu ambayo muda si mrefu itatimia, silali, sili na sipumui vizuri, kila kitu kimesimama, ni kama imenitia uchizi, muda wa kuishi na mwanaume kwenye ndoa takatifu umewadia,” alitiririka Wolper.

Chanzo: GPL

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kila la kheri mpendwa,

    ReplyDelete
  2. Ndoa, ndoa, kwani yeye ndo wa kwanza kuolewa duniani. Hakuna jipya!

    ReplyDelete
  3. Usiogope mwanangu harusi itskuwepo
    Na wataipata

    ReplyDelete
  4. Huyo jamaa katoka mkoan nn!!.amuulize dallas kilichompata kwa huyo mrembo..

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad