Kauli ya Mchungaji Mtikila Siku Moja Kabla ya Kifo Chake 'Msipige kura Oktoba Kumchagua Rais ili Nigombee Urais'

MWENYEKITI wa chama cha DP Mch. Christoper Mtikila siku moja kabla ya kifo chake aliwataka wakazi wa mkoa wa Njombe kuto chagua rais baada ya kuingia katika chuma cha Uchaguzi Octaba 25 mwaka huu kwa kuwa yeye wagombea uraisi wote walio simamishwa na vyama vingine hapa nchini anaona wanadosari.

Marehemu Mtikila Aliyasema hayo katika viwanja vya National Housing vya mjini Njombe wakati akizungumza na wakazi wa Njombe katika mkutano wa Kampeni za kuwanadi wagombea wa Chama chake cha Dp kwa ngazi za Ubunge na Udiwani.

Mtikila alisema kuwa wagombea wote walio simamishwa kumpokea Rais Jakaya Kimwete wote anaona hawafai kuipokea Tanzania na kuwa hawana ukombozi wa kweli kwa watanzania. "Wote walio simamishwa kutaka kutuongoza hata weza kuikomoa nchi yetu mniombee nifanikiwe rufaa yangu na mishine msipidge kura ya Rais pigeni kura za wabunge ambao mnawaamini ili uchaguzi urudiwe na mimi nikichukua fomu ninaimani nitashinda," alisema Marehemu Mtikila.

Aliwataka wakazi wa Njombe kuto pigia kura Rais Yoyote siku ya uchaguzi kitu kitakacho sababisha uchaguzi kuahirishwa na mchakato kuanza upya na yeye kuingia katika kinyanganyilo cha kuusaka Urais na akishinda ataleta ukombozi wa kweli kwa watanganyika.

Alisema kazi yoyote mtu anayomba anaenda kuchunguwa kama ni mzima lakini fomu za mwaka huu hakuna aliyeenda kuchunguzwa nashangaa, miaka ya nyuma wakati anenda kuchukua formu ya Uraisi niliambiwa niende Muhimbili kuchunguzwa afya yangu.

Alisema kuwa watu wanaenda kuchunguzwa kwa kuwa ugonjwa wowote unaleta itirafu katika kichwa na kushindwa kufanya kazi vizuri.

"Kazi yoyote unavyoomba unaenda Hospitalini Kuchunguzwa kwa kuwa mtu ukiwa na ugomjwa wowote Mwilini mwako unasababisha madhara katika kichwa kwa sababu hata ukiganyaga kipisi cha sigala kama mvutaji alikitupa vibaya akili inapiga simu haraka katika mguu wako na kukutaka uondoe hiyo mtu akiwa anaumwa hataweza kuwa vizuri kutokana na madhara ya ugonjwa,"

Alisema kuwa mtu akiwa anasumbuliwa na ugonjwa wowote Nyaya hugusana na hivyo mtu kama hakuenda kupima na kama anaumwa anaogopwa kuajiliwa kwa kuwa atasababisha hasara kwa kuwa nyaya zitakuwa zinagusana. Alisema kuwa watu wanao jaza watu wanawajaza kwa kuwanunulia viroba na kuwa haita wezekana kumpata raisi mweye ukombozi wa taifa hili kama kutakuwa na watu anawanunulia viroba ili waje kwenye mikutano yake.

Alisema kuwa yeye hajajaza watu katika mikutano yake kwa kuwa hawanunulii viroba, lakini alijipo moyo kwa kusema kuwa watanzania waliopo katika mkutano wake ndio watakao sambaza taarifa za ukombozi kwa wale ambao hawapo katika mkutano huo.

Marehemu Mtikija Jana Kabla ya kifo chake leo Alfajiri alimnadi mgombea wa Ubunge kupitia chama chake Cha DP jimbo la Njombe Kusini William Myegeta na kuwataka wananchi kumchagua mhombea huyo kwa lengo la kiigomboa Njombe na Tanzania kwa ujumla. Alisema kuwa Chama hicho kimesimamisha wagombea katika majimbo mengi na sio Njombe Pekee na kuahidi kuwa atazunguka nchi nzima kuwanadi wagombea hao.

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. WATANZANIA NAWAOMBENI TUMSAMEHE KWA YALE ALIYOTUKOSEA MAADAMU HATUNAE TENA,TUZIDI KUMUOMBEA KWA MUNGU AMSAMEHE,ILA IWE FUNDISHO KWA BAADHI YA WATU HASA KWA BAADHI YA VIONGOZI WA CCM KM VILE NAPE,BULEMBO,MAFUNGUO,MAKAMBA,MWIGULU ,MSUKUMA ,LUSINDE,MAKONGORO NA WENGINE WENYE KUDHALILISHA NA KUWATUKANA WATU HASA KUHUSU AFYA ZAO NA MATATIZOYAO BADALA YA KUONGEO SIASA, WAMESAHAU YA KWAMBA MUNGU NDIO KILA KITU ATOEA AFYA NA UZIMA,USIJIONE UNA AFYA AKAMZALAU ALIE NA MATATIZO,KM KAJITAKIA YEYE, MWENYEZI MUNGU HAPENDI, NADHANI HAPA KUNA KITU MMEJIFUNZA MUNGU HADHIAKIWA UNAMCHEKA MGOJWA LEO WEWE KESHO,UNAKWENDA YEYE ANABAKI HILO NI FUNDISHO LA PILI NADHANI LA KWANZA TUMELIONA,TUACHA DHARUA NA KIBURI CHA FEDHA NA MADARAKA VINAPITA HINYO.NI SAALAAAAAAAAAAAAAAAAM TU KWA CCCCCCCCMMMMMMM NA WENGINE WOOOOOOTEEEEE WENYE TABIA KAMA HIZO TUKUMBUKE MUNGU HUPO.TUTENDE YALIYO MEMA NA KWA HAKI,MUNGU ATUHURUMIE SANA. RIP CH .MTIKILA

    ReplyDelete
  2. MASHAKA YA NINI HAPA? TATIZO MNAKURUPAKA SANA KM MAFUNGUO WENU MNGEMSIKILIZA MMOJA WA MAJERUHI AKIELEZEA NAMNA AJALI ILIVYO TOKEA MSIGE FIKA HUKO,

    ReplyDelete
  3. MUNGU AILAZE ROHO YAKE PANAPO MFAA.NAOGOPA KUMPANGIA MUUMBA WA VYOTE PA KUMLAZA MCH.RIP MTIKILA.NDO TUJIFUNZE JAMANI KUUMWA C KUFA.UNAWEZA UKAFA UKIWA BUHERI WA AFYA.TUJIFUNZE WOTE NDUGU ZANGUNI

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad