KUKATWA Kwa Mumewe Uchaguzi Mkuu Kwampa Kiwewe JOYCE KIRIA!

Joyce Kiria
‘HOST’ wa Kipindi cha Wanawake Live, Joyce Kiria ameonekana kuwewesekea matokeo ya uchaguzi baada ya mumewe aliyekuwa akigombea Ubunge Jimbo la Mwanga kushindwa. Baada ya matokeo kutangazwa, Joyce alijikuta akiandika waraka mzito kwenye ukurasa wake wa Facebook akieleza jinsi alivyoyapokea matokeo hayo kwa maumivu.
Joyce Kiria na Mumewe

Akizungumza na Ijumaa, Joyce alisema kushindwa si kitu cha ajabu kwani unaangalia umeshindwaje lakini kwa hili la mumewe hakuridhishwa na mchakato.
Nimeumia sana mume wangu kukosa ubunge lakini najiuliza kwa nini walikuwa wakimkatalia kuhesabu kura kwa mara ya pili? Hivi vitu vinaumiza sana, vikitokea lazima upatwe na kiwewe,” alisema Joyce.

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ndio'basi tenaaa.......... ppiiipooos pwaaaaaaa

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad