LOWASSA Aitikisa Musoma Mjini.....Hapa Kuna Picha 16 za Mafuriko Yake

LOWASSA Aitikisa Musoma Mjini.....Hapa Kuna Picha 16 za Mafuriko Yake zikiwemo za Wananchi Kudeki Bara Bara..
Source:Mpekuzi blog

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. CCM ingeni na hii ya kupiga deki

    ReplyDelete
  2. UKAWA TEAM NO PANIC HAHAHA...

    ReplyDelete
  3. NAWATAIGA HAWAKAWIII HAO

    ReplyDelete
  4. HIVI NA HAPO WATASEMA NI PICHA ZA MIKUTANO YA NDUGU YAO DR SIRAHA AU ZA AFRICA YA KATI AU SUDANI HA HA HA NCHIMBI NA CCM BWANA KUJITOA UFAHAMU TUUUUUUUUUUUUUUUU

    ReplyDelete
  5. Mwaka huu mbona kuna rahaaaaa.... I LOVE LOWASA BUREEEEE

    ReplyDelete
  6. huyooo ndiye EDWARD NGOYAI LOWASAAAAAA! Rais wa awamu ya tano!

    ReplyDelete
  7. Watanzania wanahitaji mabadiliko,ya kiuchumi,kisiasa,kimuundo,kikatiba,ustawi wa jamii afya,na usalama wa taifa letu,yanayo fanywa na CCM ,Hayakufikia malengo ya wananchi ni sawa na kombe a dunia term kutofaulu kuingia 4bora au fainali ya kuokoa taifa letu ndio maana tunahitaji mabadiliko kuanzia kijiji hadi mjini,na kuleta ushindani kwa vijana wetu katika soko la afrika mashariki.

    ReplyDelete
  8. TENA HILI LI KATIBA LAO TUNALITUPILIA MBALIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII WAPIGA KURA KWA FAX MA CCM USANIIIIIIIIIIIIIIIIIII HATA KWENYE MAMBO YA MSINGI NA MLANIWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE ZAIDIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII

    ReplyDelete
  9. WANA CCM HABARI GANI,JANUARY MAKAMBA,SALAAM.KWA KUWA WEWE NDIYE KIMBELEMBELE NAMBA MOJA WA CCM KWA HIVI SASA MFITINI MKUU NA MWIZI HODARI,FIKISHA HIZI SALAMU NZITO KWA BABA YAKO MFITINI,MWONGO YUSUPH MAKAMBA NA JOPO ZIMA LA KAMATI YA NIDHAMU NA KAMATI KUU YA CCM ILIYOKUTANA JUZI KWA DHARURA [INAONEKANA DHARURA ZIMESHAKUWA WIMBO MKUU WA CCM KWA SASA ].SALAAM HIZO ZISOMEKE HIVI.MNAMO SIKU YA JUMAPILI TAREHE 25 OCTOBA 2015 WATANZANIA TULIO WENGI TUTAPIGA KURA ZETU KWA KUMCHAGUA MHESHIMIWA EDWARD NGOYAI LOWASSA KUWA RAIS WA TANO WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.MUSOMA JUU,MARA JUU,JUU,JUU ZAIDI

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad