Lowassa Apokelwa kwa Kishindo Monduli.......Hapa Kuna Picha 13 za MAFURIKO Yake Katika Uwanja wa polisi, Monduli Mjini Jana Oktoba 5, 2015.
Lowassa Apokelwa kwa Kishindo Monduli.......Hapa Kuna Picha 13 za MAFURIKO Yake Katika Uwanja wa polisi, Monduli Mjini Jana Oktoba 5, 2015.
7
October 06, 2015
Tags
huyo ndo LOWASA bana!! mtampenda tu!
ReplyDeleteDuuh haya ni macho yangu au ni Photoshop?
ReplyDeleteHapo kuna CHADEMA,NCCR MAGEUZI,CUF &NLD,mmh bado sishawishiki,mimi nang'ang'nia CCM lichama limoja tu lakini lina watu wenye maakili kibao,hahahahahhahaha mwanawane.CCM OYEEEEEEEE
ReplyDeletehao tu wanatosha kumpa LOWASSA urais!
ReplyDeleteLowaaaaaaasaaaaaaaa, MAaaaaadilikoooooooo!, Mabadilikoooooooo, Lowasaaaaaaaaaaaaa!!!!
ReplyDeleteHizo kadi mpya za cdm mlizotoa, ameshakabidhiwa TINGA TINGA.......mpo!!!!!!!!!
ReplyDeletebaba lowasa unatisha kama nyuki, kaza buti, kwani afya ya mtu ipo mikononi mwa mungu, safarini ni songa mbele,
ReplyDelete