LOWASSA Kavunja Rekodi Jijini Mwanza.......Haya Sio Marufiko, NI GHARIKA. Zaidi ya watu 50 Wamepoteza Fahamu


Lowassa  amelitikisa  jijini  la  Mwanza  jioni  hii  ambapo  mwandishi  wetu  ameshuhudia  zaidi  ya  watu 50  wakipoteza  fahamu  baada  ya  uwanja  huo  kujaa  kupita  uwezo  wake
Source: Mpekuzi blog

Post a Comment

14 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Rais wetu mpenzi
    Lowassa Lowassa
    Chagueni Lowassa Na ukawa

    ReplyDelete
  2. sasa jiulize wewe mwana ccm,hapo hakuna ali kiba,diamond,chege,tunda man,mkude simba wala mkude chui,stan sijui fimbo,aunt siyo shoga eze wala ney wa kutega,wala ya baridi bendi,wala kushtuliwa na nyoso,wala ray wa kujikoboa,wala dr slilali,wala lipumbazi,wala mrema mzee wa kiraracha,wala sijui nini.Watu wanaenda wenyewe na shughuli ndio hiyo hapo kwenye picha na wamejiandikisha kuchinja mtu,JESHI LA MTU MMOJA.,

    ReplyDelete
  3. Ni Lowassa Lowassa
    Rais kipenzi cha Watu
    Lowassa Na Ukawa tarehe 25

    ReplyDelete
  4. Na bado bado
    Ngalika inakuja 25 October

    ReplyDelete
  5. NATAMANI KULIA,TENA KWA SAUTI KUBWA [NA,SAUTI YANGU INA BEZI KWELI KWELI KAMA BARAGUMU]KUTOKANA NA KUZIDIWA NA FURAHA BAADA YA KWANZA, KULETEWA PICHA ZA AWALI ZA MAPOKEZI YA MPENDWA WETU MHESHIMIWA EDWARD LOWASSA MKOANI MWANZA NA JIJINI MWANZA IKIWA NI HUSUSANI.BAADA YA TAARIFA ZILE ZA AWALI SASA NIMO KWENYE MTANDAO WANGU UDAKU SPECIALLY, MTANDAO MAKINI WENYE UBORA KULIKO MITANDAO YOTE,YOTE KABISA NCHINI TANZANIA.NILICHOKIONA KWENYE MAPOKEZI HAYA YA KIHISTORIA NI KWANZA KWA UCHACHE WA HESABU WANANCHI MILLION TATU [3 MILLION ATTENDEES] WALISHIRIKI KWENYE MAPOKEZI HAYO.KUONYESHA IMANI KUBWA YA AINA HII KWA MGOMBEA YANATUPATIA FUNZO WATANZANIA WOTE KWAMBA HAKUNA FITINA,UNAFIKI,VIUNZI,HILA,UCHOCHEZI VINAVYOWEZA KUZUIA NGUVU NA MAPENZI YA WATU KWA KILE WANACHOONA NI CHAGUO LAO.SIO SIRI KWAMBA SASA HIVI CCM,HUSUSANI VIONGOZI WAKE NA KWA KIPEKEE KAMATI YAO YA KAMPENI WANAFANYA KIIILA UCHAFU,KIILA HILA,KIILA FITINA KUMFITINI MHESHIMIWA LOWASSA,NA PIA KUWAFITINI WAGOMBEA WOTE WA UKAWA NCHINI KOTE TANZANIA ILI WAO CCM WAENDELEE KUONGOZA.NASEMA HII NI NDOTO YA MCHANA KWA HILI WAJUE CCM,HALITOTOKEA,HALITAWEZEKANA.SASA HIVI WATANZANIA WENGI SANA[ WHOOPING MAJORITY]KWA UJUMLA WETU TULIKWISHAMCHAGUA RAIS WETU AJAYE NI MHESHIMIWA EDWARD NGOYAI LOWASSA NA SI VINGINEVYO.TUMEKWISHACHAGUA.ILE JUMAPILI TAREHE 25 OCTOBA 2015 TUNAKWENDA SASA,KUMPIGIA KURA TUU,HATUENDI KUCHAGUA,TULIKWISHA MCHAGUA LOWASSA.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Una uhakika na hizo picha?Hapo umekurupuka ndugu.
      Sina sababu ya kubishana ila nakuapia kwa mara ya mwisho,Lowasa hatashinda si kwa hila wala nini,ila nakubali amewajambisha ccm sana,sana,sana.

      Delete
    2. wewe ninani mpaka useme Lowassa hata shinda, au ndiye mmojawapo kwenye mipango ya kuiba kura!! unajua watu kama nyie mmemsahau Mungu! Mungu akipanga hata mfanyaje Lowassa raisi wa awamu ya tano.

      Delete
    3. 😆😆muache tuu huyo...
      Anony 9:28 oct13
      Unahitaji maombii ufunguliwe

      HAPA MABADILIKO TUU

      Delete
  6. Lowassa anasubiri kuapishwa Kama wafuasi wake tukijitahidi kupiga kura

    ReplyDelete
  7. uwiiiiii mahaba niue

    Kazi ipo mwaka huuuu

    Shkamoooo LOWASA

    Shkamoo upepo LOWASA

    ReplyDelete
  8. Ni kutojiamini?AU?Kwa nini mnaweka picha zisizo?
    kama ni Mwanza weka picha husika,Arusha weka picha husika,mbona mnatuchanganya?
    Haipendezi.

    ReplyDelete
  9. ASANTE ASANTE KUMBE KUPITIA MTANDAO MAKINI NAMBARI MOJA TANZANIA UJUMBE UMEPENYA NA UMEFIKA HIGHEST POLITIBULO YA CCM.WAZEE WANASEMA HAWAAMINI HIZO PICHA ZA GHARIKA LA LOWASSA,WANASEMA ZIMETENGENEZWA.KUTENGENEZWA? KWA HIYO ZILE ZA MAGUFULI HAZIJATENGENEZWA.ACHENI AIBU ZENU VIONGOZI WAANDAMIZI WA CCM NA WASTAAFU WAKE.MIMI NAJUA FIKA MMEKWISHACHANGANYIKIWA.LAKINI HALI HII MLIYOKUWA NAYO SASA.TETE KIAFYA [PRESSURE, SUKARI KUPANDA NA MENTAL CONCUSSIONS] VISINGEWAFIKA KAMA MNGEANZA MAPEMA KUJIANDAA KISAIKOLOJIA.YAANI KUISHUSHA MIOYO YENU KWENYE UHALISIA NA KUIKUBALI HALI HII MPYA KWENU,YA KUSHINDWA.HAKUNA JINSI.TUKIO LA KIHISTORIA LA MWANZA LA JANA JUMATATU TAREHE 12 OCTOBA 2015 LA WATU MILIONI NNE [MZEE KINGUNGE NGOMBALE MWILU ALIUITA UMATI ULE BAHARI] KUSHIRIKI KWENYE MAPOKEZI YA MHESHIMIWA LOWASSA KATU HAMUWEZI KULIKUBALI CCM NEVER,NEVER.IT WILL BE TATAMOUNT TO ACCEPTING DEFEAT, KUKUBALI KUSHINDWA,TENA MAPEEEMA KABLA YA BALLOT BOX JUMAPILI TAREHE 25 OCTOBA HII [BADO SIKU 12 TUU] SIKILIZENI MABABU NA WALE MLIOWATUMA , COVERAGE YA MHESHIMIWA LOWASSA NI YA DUNIA NZIMA KWA SASA.WAANDISHI WA KIGENI WAPO KWA MAMIA KILA KONA KILA MAHALA NCHINI ,ZINACHUKULIWA PICHA VIDEOS,MNATO,TELEVISION KWA MAMIA,KWA MAMIA.HAO NAO WAMEHONGWA NA UKAWA?SOMENI NA ANGALIENI NEW YORK TIMES,LOS ANGELES CHLONICLE,CHICAGO HERALD,THE INDEPENENT,MOSCOW DAILY NEWS,TOKYO YOMIURI SHIMBUM,PEKING DAILY,MELBOURNE TRIBUTE,THE SUN,DAILY NATION-KENYA.SAMAHANI NAONA NAZIDI KUWACHANGANYENI WAZEE WA CCM. TUKUBALI CCM IMEANGUKA,TENA PUUU YA KWELI YAANI TIIIIIIIII.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad